Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,093
- 5,587
Wakuu,
Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.
Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.
Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana.
Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu hili suala la Uchawa na waandikie dissertation.
Kuelekea kwenye Uchaguzi tutaona mengi
Soma pia: Katibu CCM, Iringa: Wenezi acheni kuwa Machawa na kubeba Mabegi ya Wagombea