Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,766
- 29,721
CC ZittoKatibu mwenezi wa act wazalendo mkoani kigoma amekihama chama chake na kujiunga na chadema amesema chama hicho hakina lengo la kuleta ukombozi kwa watanzania ila kimekuwa kibaraka kwa ccm toka kianzishwe amesema chadema pekee ndoo chama chenye lengo la kulete maendeleo kwa wananchi.![]()