Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Vicent Mashinji yuko wapi?

Chadema sasa doro hiyo ni dhahiri ingawa wanajikakamua lakini ukiwangalia usoni unaona wamepoteza network
 
Mmeulizwa Mashinji manahangaika na Kinanan Wa mini wakati mlishaoneshwa kiu yenu ikaisha, sasa ni zamu yenu kukata kiu ya wale wanaotaka kujua ukweli kuhusu Mashinji alipo. Muibuwni

Kama sisi unadai tunahagaika na Kinana wewe unahamgaika nini na Mashinji?
 
Mkuu kwani akina Mbowe , Lissu wanaoonekana kila siku wanaripoti Kwa watu?


ccm.jpg


Misukule wa lumumba mna mamlaka gani ya kuhoji utendaji wa Katibu mkuu wa chama cha maadui zenu? Akili zenu mnazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom