Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia:

2 Wakorintho 6:17-18​

17. “Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.

18 “Nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu asema Bwana Mwenyezi.”

NJOO CHADEMA LAKINI CHADEMA HAKUNA HELA ZA KUCHOTA/KUIBA UJUE, NI KAZI YA UTUME YA KUWAKOMBOA WANA WA ISRAEL KUTOKA UTUMWANI
 
Hata Sauli aliongoka.Afuate ushauri na auze mali zake zote awagawie masikini.Kisha,aubebe msalaba wake na kuifuata nuru.
 
Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia:

2 Wakorintho 6:17-18​

17. “Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.

18 “Nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu asema Bwana Mwenyezi.”

NJOO CHADEMA LAKINI CHADEMA HAKUNA HELA ZA KUCHOTA/KUIBA UJUE, NI KAZI YA UTUME YA KUWAKOMBOA WANA WA ISRAEL KUTOKA UTUMWANI
Watanzania hamjui adui yenu ni nani. Adui ni katiba inayompa rais nguvu zote. Hana hofu ya kuondolewa kwa uchaguzi, hana hofu ya kufungwa, yaani anaweza kufanya chochote. Huyo Nchimbi anauma na kupuliza tu na anajua hakuna mabadiliko bila katiba.
 
Hata kitendo cha kumtembelea Kinana nyumbani kwake nacho ni cha kiungwana sana.

Nakifananisha kitendo hiki na kile cha wakurugenzi wa TTCL kumsukuru na kumtakia Nape uttumishi mwema baada ya kutumbuliwa uwaziri.
 
Nakuomba usome vesrsi hii katika Biblia:

2 Wakorintho 6:17-18​

17. “Hivyo tokeni nje kati yao na jitengeni nao, asema Bwana. Msishike chochote kilicho kichafu, nami nitawakaribisha.

18 “Nitakuwa baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu asema Bwana Mwenyezi.”

NJOO CHADEMA LAKINI CHADEMA HAKUNA HELA ZA KUCHOTA/KUIBA UJUE, NI KAZI YA UTUME YA KUWAKOMBOA WANA WA ISRAEL KUTOKA UTUMWANI
Makamba Team nyie watu wa ajabu sana. Kundi lenu la tamaa ya madaraka zama zenu zimeisha. Endeleeni tu kutapatapa kama mfa maji na Nchimbi analiwa kicha mda siyo mrefu.
 
Back
Top Bottom