esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
sio ajabu yule waziri aliyevamia press conference ya roma mkatoliki akawepo.Ataonekana pale lkn atakuwa kazungukwa na "vijana" kibao, hatakuwa huru to that extent.
Kama vipi muacheni aongee na wanahabari. Hiyo ya kesho ni zuga tu.
NOT TO THAT EXTENT!