Katibu Mkuu wa BAVICHA akishiriki katika kipindi cha Malumbano ya hoja ITV jana alimshangaa Jumanne Murilo kutishia wananchi na kupiga marufuku kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa Chadema Tundu Lissu katika mahakama ya Kisutu.
Katibu Mkuu huyo amehoji Kamanda Murilo ametumia sheria gani? Amemtaka Murilo ajitokeze hadharani kueleza sababu ya kutaka kuwazuia wananchi kwenda kumuona na kusikiliza mwenendo wa mashtaka wa mpendwa wao. Aidha amelitaka Jeshi la polisi kujitenga na mambo ya kisiasa na kuanzisha vurugu.