Katibu Mkuu mpya CHADEMA aleta taharuki ndani ya CCM

Mkuu, hapa ninachokiona ni kwamba unajiliwaza tu. hivi kwa akili yako huyo Katibu Mkuu wako ataweza kufanya kazi na akina John Mnyika na Salum Mwalimu? Je ataweza kukabiliana na mihemko ya akina Tundu Lissu? Tuache utani kwenye mambo ya msingi. Dr Slaa hakunaga ndani ya CHADEMA
Poleeeeee. Yaani umechangia kwa unyonge hata siamini kama ni yule Lizaboni aliyekuwa anaichachafya cdm kipindi cha uchaguzi.
 
Ki ukweli uchaguzi wa katibu mkuu umewachanganya ccm naona wanarudi tena maktaba ili wapate kashfa ya huyu katibu mkuu mpya
 
Mkuu, hapa ninachokiona ni kwamba unajiliwaza tu. hivi kwa akili yako huyo Katibu Mkuu wako ataweza kufanya kazi na akina John Mnyika na Salum Mwalimu? Je ataweza kukabiliana na mihemko ya akina Tundu Lissu? Tuache utani kwenye mambo ya msingi. Dr Slaa hakunaga ndani ya CHADEMA
hahahahahah slaa hakunaga tena na msahau maana alikuwa anawaletea siri za chama
 
Nimeshangaa sana leo kitaa watu ndo wanaulizana baada ya kuona ktk magazeti eti kumbe chadema walikuwa na kikao, wameshapotea hewani!
 
Chama cha Mapinduzi kilikuwa kimejipanga vyema kabisa na lundo la tuhuma na kashfa mbalimbali kwa watu kadhaa ambao walikuwa katika list yao kuwa watakuwa wateule wa Ukatibu mkuu wa Chadema.
Habari za uhakika zilizopatikana toka ndani ni kuwa kitengo cha propaganda cha ccm kwa muda wa miezi minne kilipewa jukumu la kufanya kazi hiyo ya kutafiti kasoro za mmoja mmoja kwa wale watu sita ambao wao walisema panga pangua lazima awe mmoja wao.
Kasoro na kashfa hizo zilikwisha andaliwa makala kila mtu na yake ikitegemea nani atatangazwa.
Project hii iligharimu fedha nyingi zilizotengwa na chama.
Lakini kitendo cha Chadema kuja na jina geni kabisa kwao ni sawa na kupigwa knock out dakika ya kwanza ya round ya kwanza. Hawakutegenea na wamepigwa butwaa.
Wapo viongozi ambao walikuwa na kikao cha siri hotelini maeneo ya Mikocheni wakisubiri jina litajwe walionekana wakitawanyika usiku wakiwa wameinamisha vichwa chini.
Hata kwenye mitandao ya jamii ambako watu walikesha wakisubiri wachangiaji wengi waliokuwa wanasubiri kuiponda Chadema kwa yale majina waliyokuwa nayo wamechanganyikiwa na kumshambulia Dr Vicent bila mpangilio maana hawamjui
Chadema kumbe inajua kucheza na siasa za CCM kwa nini haikamati dola kwa mbinu hizi? Hilo ni swali katika mada nyingine
Yaani mtu, tena Daktari wa binadamu ambaye hajulikani kwenye medani ya siasa kuteuliwa kwake kuwa Katibu mkuu wa chama namba moja cha upinzani Tanzania ndo alete taharuki kwa CCM...Hapana

Ingekuwa ni Tundu Lissu, John Mnyika ama Albanie Marcos sawa....

Lakini sio mgeni huyu...

Kisa tu aliongoza mgomo wa Madaktari?!!!!
 
hahahaha. ...mbona wanaolalamika ni CCM?
Mkuu wakileta ubishi tutaweka majina ya viongozi waliokuwa hapo hotel Mikocheni wakifuatilia yanayojiri Mwanza na baada ya utabiri wao kufail wakaondoka kwa hudhuni.
Jee huzuni ya viongozi wa ccm ni kwa vile Chadema inakufa? Toka lini panya alitoa chozi kifo cha paka?
 
Mkuu, hapa ninachokiona ni kwamba unajiliwaza tu. hivi kwa akili yako huyo Katibu Mkuu wako ataweza kufanya kazi na akina John Mnyika na Salum Mwalimu? Je ataweza kukabiliana na mihemko ya akina Tundu Lissu? Tuache utani kwenye mambo ya msingi. Dr Slaa hakunaga ndani ya CHADEMA
Bado unaweweseka saana, inaelekea nawewe uliandaliwa kuja kuwatukana waliokuwa wqnategemewa kuja kuwa makatibu
Pole
 
Mkuu, hapa ninachokiona ni kwamba unajiliwaza tu. hivi kwa akili yako huyo Katibu Mkuu wako ataweza kufanya kazi na akina John Mnyika na Salum Mwalimu? Je ataweza kukabiliana na mihemko ya akina Tundu Lissu? Tuache utani kwenye mambo ya msingi. Dr Slaa hakunaga ndani ya CHADEMA
Hivi kuna mtu aliyekuwa mtusi wa Mzee Slaa kama wewe? Leo hii unasema Slaa hakunaga? Kweli CCM imejaaa wanafiki!
 
Chama cha Mapinduzi kilikuwa kimejipanga vyema kabisa na lundo la tuhuma na kashfa mbalimbali kwa watu kadhaa ambao walikuwa katika list yao kuwa watakuwa wateule wa Ukatibu mkuu wa Chadema.
Habari za uhakika zilizopatikana toka ndani ni kuwa kitengo cha propaganda cha ccm kwa muda wa miezi minne kilipewa jukumu la kufanya kazi hiyo ya kutafiti kasoro za mmoja mmoja kwa wale watu sita ambao wao walisema panga pangua lazima awe mmoja wao.
Kasoro na kashfa hizo zilikwisha andaliwa makala kila mtu na yake ikitegemea nani atatangazwa.
Project hii iligharimu fedha nyingi zilizotengwa na chama.
Lakini kitendo cha Chadema kuja na jina geni kabisa kwao ni sawa na kupigwa knock out dakika ya kwanza ya round ya kwanza. Hawakutegenea na wamepigwa butwaa.
Wapo viongozi ambao walikuwa na kikao cha siri hotelini maeneo ya Mikocheni wakisubiri jina litajwe walionekana wakitawanyika usiku wakiwa wameinamisha vichwa chini.
Hata kwenye mitandao ya jamii ambako watu walikesha wakisubiri wachangiaji wengi waliokuwa wanasubiri kuiponda Chadema kwa yale majina waliyokuwa nayo wamechanganyikiwa na kumshambulia Dr Vicent bila mpangilio maana hawamjui
Chadema kumbe inajua kucheza na siasa za CCM kwa nini haikamati dola kwa mbinu hizi? Hilo ni swali katika mada nyingine
Mkuu uzi wako upo makini na ni wa kitafiti kabisa,wakati ccm wanahangaika na hayo majina yao 6 kumbe cdm wanawachungulia kwa darubini,Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh, magamba yamebaki yana weweseka.....salute kamanda..
 
Mkuu wakileta ubishi tutaweka majina ya viongozi waliokuwa hapo hotel Mikocheni wakifuatilia yanayojiri Mwanza na baada ya utabiri wao kufail wakaondoka kwa hudhuni.
Jee huzuni ya viongozi wa ccm ni kwa vile Chadema inakufa? Toka lini panya alitoa chozi kifo cha paka?

CCM wamepanic mkuu...
 
Mkuu, hapa ninachokiona ni kwamba unajiliwaza tu. hivi kwa akili yako huyo Katibu Mkuu wako ataweza kufanya kazi na akina John Mnyika na Salum Mwalimu? Je ataweza kukabiliana na mihemko ya akina Tundu Lissu? Tuache utani kwenye mambo ya msingi. Dr Slaa hakunaga ndani ya CHADEMA
Imekula kwako wewe kiwavi, cdm hiyooooooooooooooooooo
 
Sana tu. Yaani wengi waikuwa wanafuatilia matokeo ya mpira wa miguu kwa timu zetu za Yanga na Azam. Vijiweni ndo kabisaaa. Nimeamka leo na kupita kwenye vijiwe vya karibu hapa Lizaboni hakuna kabisa story za Vicent
Kweli kabisa,
 
Yaani mtu, tena Daktari wa binadamu ambaye hajulikani kwenye medani ya siasa kuteuliwa kwake kuwa Katibu mkuu wa chama namba moja cha upinzani Tanzania ndo alete taharuki kwa CCM...Hapana

Ingekuwa ni Tundu Lissu, John Mnyika ama Albanie Marcos sawa....

Lakini sio mgeni huyu...

Kisa tu aliongoza mgomo wa Madaktari?!!!!
Mkuu kamanda wa vita anayeratibu mapambano umaarufu wake hausaidii.
Mfano wa soccer, mbona Julio kocha wa Mwadui ni maarufu sana kuliko yule wa Yanga ambaye hata hatumjui lakinivipi hapo?
 
Back
Top Bottom