moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 137,871
- 733,827
Huyo mnanani alikuwa mwizi stadi eneo hilo tangu akiwa mvulana miaka ya 70 na 80, alipohamia mbagala miaka ya 90, dada zake,wapwa zake, wadogo zake na wanafamilia wote waliendeleza wizi. na hao wadada walikua hatari sana kwa roba za mbao na uporaji mitaa hiyo.Mkuu hii kali kwahiyo kumbe hata Dada zake nao walikuwa Watu wa matukio? Sidhani kama Mgeni aliyekuwa akiwatembelea alikuwa akitoka salama bila kulazimishwa kupata hasara au upotevu wa Mali yake kwa Kuibiwa.