Kati ya Simbu na Diamond, nani alistahili kukabidhiwa Bendera ya Taifa?

Man you have no justification for such language, ni mada rahisi you dont have to personify it in any way! Be civil if you cant be sober!

Tanzania ni nchi huru mkuu, kosa ni kutukan tu,na mimi sijatukana.
 
Tanzania ni nchi huru mkuu, kosa ni kutukan tu,na mimi sijatukana.

Duh unatumia dictionary gani kaka?! Ok you are a "Bastard"! (You are an illegitimate son born of unmarried parents), si hivyo? na sina uthibitisho wa jambo hilo; kwa sababu sikufahamu! Kwa hiyo ni tusi. Asante sana Daudi Mchambuzi!
 
Hapa Waziri amejisahau na aliangalia umaarufu wa mtu. Akampatia Rais wa WCB bendera.Simbu hakupewa bendera na Waziri na wala hakupewa umuhimu wowote. Inavyoonekana waziri anabagua watanzania wanatuwakilisha nje nchi.
 
Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka kinyonge kwenda india na kurudi shujaa na leo namwona Nape akimpongeza, nachojiuliza nani haswa alistahili kukabidhiwa benera ya Taifa
Sijaelewa utaratibu wa bendera. Mtanzania hutakiwi kushika bendera mpaka ukabidhiwe?
 
Siku chache zilizopita tulimshudia waziri Nape akimkabidhi bendera ya taifa mwanamuziki diamond wakati akijiandaa kwenda kutumbiza kwny masshindano ya afcon wakati mwanariadha simbu akiondoka kinyonge kwenda india na kurudi shujaa na leo namwona Nape akimpongeza, nachojiuliza nani haswa alistahili kukabidhiwa benera ya Taifa
Wewe ndio inabidi ukabidhiwe.
 
Hata simbu angekabidhiwa bendera kwa mbwembwe kama dai kuna watu wangelalamika na kumita mtalii. Bora kaenda kinyonge karudi shujaa
 
wewe mkuu.. ulistahili kukabidhiwa wewe.
Ni bora ungeliacha kujibu kuliko ulivyomjibu
Ila kiukweli aliestahili kukabidhiwa bendera ya Taifa ni huyo mwanariadha na sio Diamond simbu kenda iwakilisha nchi kwenye mashindano nje ya bara la Africa na kimataifa na Diamond kenda washerehesha wachezaji
Hapo ni mapenzi ya mtu na mtu ndicho kilichofanyika
 
Acha ulofa ..
 
Back
Top Bottom