Kati ya Mbagala na Gongo la Mboto wapi kuna watu wengi?

nikianza na route za magari tu

GOMZ-POSTA-KIGAMBONI-tata na eicher.
GOMZ-MBUSHO-tata na eicher
GOMZ-MASAKI-tata na eicher


hizo route zote rush hours magari yanajaa sana,
bado sijaweka train,pugu posta.
bado gari ndogo coaster z buguruni,segerea,kawe route ndefu nk.
gongo la mboto ina watu aisee.
 
nikianza na route za magari tu

GOMZ-POSTA-KIGAMBONI-tata na eicher.
GOMZ-MBUSHO-tata na eicher
GOMZ-MASAKI-tata na eicher


hizo route zote rush hours magari yanajaa sana,
bado sijaweka train,pugu posta.
bado gari ndogo coaster z buguruni,segerea,kawe route ndefu nk.
gongo la mboto ina watu aisee.
Hapo ujaigusa kitunda,kinyantila huko,mombasa kwa diwani,moshi bar,kwa mkolemba na bomba mbili....

Ujafika radar chuo ,bwela huko njop ulongoni ...fika majohe kwa ngozoma aiseee kwanza ile gomsi center inaanzia huku kituo kipya inakuja kuishia chuo cha kampala kule maliasili hapo ni kama viwanja vinne ama vitano vya mpira
 
Back
Top Bottom