MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,656
- 7,575
wengi wanaopanda hiyo treni (ikiwemo mimi) wanakaa homboza, chanika, pugu, kisarawe,treni la mwakyembe
Hapa nikisema gomsi naaminisha Banana, Mombasa, Gomsi yenyewe, Pugu, Majohe mpaka ChanikaGongo la Mboto kwa Mbagala ni sawa na Chamazi hadi Mbande.
Mbagala ni Jimbo wakati Gongo la Mboto ni Kata...
Watu wanaichukulia poa gomsi kwa kulinganisha na mbagara ila mbagar hampati hata kidogo kwa nyomi gongo la mboto basi tu sijui mbagar kamzdi vipi umaaarifu gongo la mboto....wengi wanaopanda hiyo treni (ikiwemo mimi) wanakaa homboza, chanika, pugu, kisarawe,
yes na mishe anafanyia Mjini
Gomsi na Mbagara kuna watu na maisha na investment kuliko unavyodhani bibie so kaa kwa kutulia.unafanya sensa ya kaya maskin nn?
Ili uwapige vizuri kwenye hela za tasafu?
Kwanini mbagara kuna watu wengi kuliko Gongo la mboto?Mbagala kuna watu alooooo. Ni maskani ya makapuku wote wa dar
Mzee WA dondwewengi wanaopanda hiyo treni (ikiwemo mimi) wanakaa homboza, chanika, pugu, kisarawe,
yes na mishe anafanyia Mjini
Hamna zimejaa kaya masikiniGomsi na Mbagara kuna watu na maisha na investment kuliko unavyodhani bibie so kaa kwa kutulia.
Endeleeni kujidanganya kama bakhresa unaandika baresa huwezi kuielelewa mbagaraHamna zimejaa kaya masikini
Tajiri hawezi ishi mbagala
Labda awekeze kama kina moo na baresa manake maskin ndo wamejaa huko,wa bidhaa za bei rahisi,za jero na buku buku zinazotoka daily
Hahaha aya Wapi kuna nyomi na kwanini?HIZO NDO SEHEMU PEKEE VITU HAVIPANDI BEI MIAKA BUKU,,NA MAISHA MEPESI KAMA JALALANI,, WANAUZA DAGAA NA PILIPILI ZA MIHOGO KULIKO SEHEMU YOYOTE DAR.
🤣🤣We kama umejenga huko freshEndeleeni kujidanganya kama bakhresa unaandika baresa huwezi kuielelewa mbagara
Ushawahi kufika chamazi ???
Usiwe na akili za kubebwa bebwa na maneno ya watu
Kwnza huko tandika na buza umewapendelea sana maana hazipo mbagara hizo....Mbagara ukiichukulia yenyewe kama yenyewe haina watu wengi ila chukulia kipande cha TANDIKA ule ukanda wote Mpaka BUZA alafu urudi sasa huko chamazi mpaka Mbande. Ndio utasema kuna watu nyomi.
Ila kwa Gomz anzia Banana , na kule Kwa WAKURYA uje Hapo mjini kati MOMBASA upandishe mpk Ulongoni B uje PUGU plus Chanika.. GOMZ ina watu.
We unaishi wapi?We kama umejenga huko fresh
Ila jua ni kwa mahohehahe
Jipe moyo
Huko ndo watoto wengi hata la Saba hawamalizi
futa hii asiione samia na mwigulu.HIZO NDO SEHEMU PEKEE VITU HAVIPANDI BEI MIAKA BUKU,,NA MAISHA MEPESI KAMA JALALANI,, WANAUZA DAGAA NA PILIPILI ZA MIHOGO KULIKO SEHEMU YOYOTE DAR.