Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Kubali tu kwamba ushawishi wa mwenyekiti wenu ni mkubwa sana kwenye chama. Kubali tu kwamba kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya malengo ya mwenyekiti wenu kuwa ndiyo yanayopewa kipaumbele kwanza.Kwa hiyo Chadema wanatumia katiba ya ccm kuhusu mika 10?
Hivi unajua kazi ya msajili wa vyama? Mkifanya lolote tofauti na katiba anatengua maamuzi
Kuhusu suala la mababy na suala la mombasa, wabunge wa CCM hawakuukimbia ukumbi wa kwenu mpaka mishipa ya shingo iliwasimama.