Kati ya Kahama na Mbeya wapi pako vizuri kwa mzunguko wa pesa?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
9,398
17,839
Wakuu
Hivi kati ya kahama na mbeya wapi pako vizuri kwa mazunguko wa pesa,unafuu wa gharama za maisha na ubora wa miundombinu?
 
Banks zilizopo Kahama ndugu yangu kyagata

Crdb 2 branch
NMB 2 branch
Azania 2 branch
NBC
TPB
Dtb
Kcb
Equity
Access bank
Finca
Boa
EXIM anakamilisha jengo.... 2be open soon
Kahama imepigwa za chembe na Njombe Hadi ukakimbia jukwaa unakuja kuchangia upuuzi huku?

Mbeya imepita level za Banks,Sasa hivi Ina host events kubwa kubwa kama huu Mkutano wa Idhaa za Kiswahili Duniani. 👇👇

View: https://twitter.com/TZWaziriMkuu/status/1769643669454250419?t=Oc2ewiuUmiZR41qT07Nd9Q&s=19

Gulio la Kahama linaweza ku host Mkutano wa wachawi na machinga tuu ,so ukome kulinganisha na Jiji la Mbeya.
 
Twende mbele turudi nyuma, kulinganisha manispaa mpya ya kahama na Jiji la mbeya ni udhalilishaji na dharau, ni sawa na mtoto amefikia balehe sasa anataka kujifananisha na baba yake
 
Mtoa mada,mzunguko wa mbeya ni mkubwa kuliko wa kahama kwa umbali sana,hasa kama una biashara kati kati ya jiji kutokana na hata uwingi wa watu.
 
Leteni taarifa za Kiuchumi za Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.tuangalie
1.Pato la kila Halmashauri
2.wastani wa pato la kila Mwananchi.
3.Ongezeko la Idadi ya watu.
4.Taasisi za kifedha zilizopo ndani ya Halmashauri husika.
5.Idadi ya Hotel na Lodges ndani ya Halmashauri husika.

Namba hazidanganyi...
 
Back
Top Bottom