ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,941
Ili uwaelezee vizuri, inabidi ujue philosophical outlook yao. Bashiru Ally, mtalamu wa siasa, anachambua sana kwa kuzingatia bourgeois school of thought, matokeo ya uchambuzi huu huwa fake siku zote lkn Ayoub Rioba, huchambua zaidi akitumia falsafa za ki marx, Marxist school of thought, hii husema vitu vya kweli na halisi katika jamii.
na ki uhalisia, ukifaham kuchambua ki marxist, mliberal hawezi kukufuata hata kidogo.
kwa hiyo, japo wote ni wachambuzi wazur, lkn Rioba ni zaidi. Na ukitaka uchambuzi murua, mtafte Abunuwas Mwami
na ki uhalisia, ukifaham kuchambua ki marxist, mliberal hawezi kukufuata hata kidogo.
kwa hiyo, japo wote ni wachambuzi wazur, lkn Rioba ni zaidi. Na ukitaka uchambuzi murua, mtafte Abunuwas Mwami