Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,089
- 3,031
Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili
Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio sahihi
Sasa Basi Kuna watu hawafai kabisa kufanya kazi chini yao labda uwe hauna jinsi naa hata Kama hauna jinsi Basi kaa hapo for a reason
Na maanisha kwamba kaa hapo kwa ajili ya kujiegesha Huku ukiendelea kutafuta ajira nyingine lakini usikae hapo kwasababu unategemea hapo
Aiseeh utazeheka huna uwanja,Wala nyumba na uzee wako utaishia kuwa omba omba
Sasa ukikutana na boss au mwajili wako Kama huyu Basi Anza kuandaa mazingira ya kutafuta kazi nyingine na Kama unaona Kuna kazi nyingine Basi Anza utalatibu wa kuivizia kazi hiyo kabla akili yako haija lemaa
1)boss asiye kubali kosa. Mwajili mzuli niyule ambaye akikosea hukubali kukosea na kuomba msaada namba ya kufanya kwa usahihi kusidi kazi iendelee kuishi
Sasa ukuiona mwajili wako hata akikosea hataki kuku Bali na Ana kimbilia kuku bambikiza kosa
Basi huyo mkatae mala moja Kuna siku atakuletea tatizo kubwa kuliko uwezo wako
utaya chukuia maisha badara ya kuya chukia maamzi yako mwenyewe
2.)boss anaye anglia/kuchunguza unacho kipata/faida yako siyo anacho kipata.
Kwenye kazi boss Ana paswa aangalie anakupa bidhaa gani?
na atakupa uiuze kwa Bei gani? na wakati huo atakuwa anaingiza faida kiasi gani?
kwa bidhaa moja aliyo kupa inatosha
Lakini ukipata boss ambaye anaanza kufuatilia umeingiza kiasi gani?
kwa bidhaa unayoniuza japo yeye ina mlipa
Aiseeh huyo kaa naye mbali hafai na hakufai kwenye maisha yako
3)boss asiye penda uendelee. Bosi mzuli niyule uliye anza naye na mtaji wa milioni moja mkafikisha milioni ishirini
lakini ukinunua gali au kujenga nyumba hufurahia kwani Ana penda uendelee
Lakini ukikuta boss wako yeye mtaji wake/office inakuwa na bado ukijenga anaanza kukusema pembeni kwamba ume mwibia
au kukuambia tuludie hesabu frani
lakini nibaada tu ya kuskia umefanya Jambo frani la maendeleo
Ndugu huyo piga chini chap hafai na hakufai kwenye maisha yako
Boss mzuli niyule ambaye akiskia umejenga umeishia kwenye kupauwa
Basi anakuongezea na pesa ya finishing huyo ndiyo boss og
4)boss anaye zungumza na wewe Kama mtoto.
Heshima ikizidi huleta dharau huenda nidhamu yako kazini ikakufanya uonekane mjinga kwa mwajili wako
Boss mzuli huzungumza nawewe kwa staha lakini boss mpuuzi na anaye kupuuza huzungumza na wewe Kama mtoto mdogo asiye skia
Sasa kataa hiyo Hali itakuathili itakufanya ushindwe kujiamini wakati mwingine ushindwe hata kutetea hata kilicho haki kwako
huyo piga chini Kama Ina wezekana kufanya hivyo haraka sana
5)boss anaye jali magumu yake pekee.
Boss mzuli niyule anaye mtazama mfanya kazi wake kwa jicho la tatu
Kwanza hutembelea nyumbani kwako ili kuangalia kiwango Cha mshahara na mzigo ulio ubeba
Kisha hufikilia namna ya kuku kwamua ili ufanye kazi yake vizuli
Lakini ukuiona boss anajizungumzia Sana yeye
Yani zile nataka nifanye hivi na vile ni nyingi lakini siyo tufanye hivi na hivi ili tuingize kiasi ichi kusidi tufikie hatua ya kulipana angalau hivi na hivi
aisee Hilo ni libinafs pigachini kabla Mambo haya jawa magumu zaidi
6.)Boss asiye taka makubaliano twende huku.twende kule.nisindikize hapa nisindikize pale.nenda sehemu frani kafanye vile na vile Kisha tuta angalia
Ndugu ogopa Sana mtu Kama huyo itakugharimu
Boss mzuli niyule anaye sema nenda sehemu frani kafanye kitu frani je! nikulipe au ntakulipa kiasi gani?
Kisha wewe umpe Bei ya malipo sahihi kwa mazingira unayo yaona
Mwisho nikwamba niwaombe au kuwa shauri maboss au waajiri wote kwamba dreva ndiye anye ijua gali vizuli kuliko mmiliki wa gali mwenyewe
Hivyo wapeni heshima na kuwa tendea viema wanao yendesha magali yenu
kwani wao Wana weza kuwa kabidhi gali zenu zikiwa hazina break,mafuta,upepo,na msijue
Mka yapokea mkayaendesha mkafia mbele
Hivyo hivyo kwenye companies zenu, office zenu,na taasisi zenu
wafanya kazi ndiyo viongozi wenu wazuli naweza kusema bila wao hizo kazi zenu haziendi
Kwani wao ndiyo hushinda mda mlefu hapo kuliko nyinyi mbalikiwe akina bwana mkubwa
japo pesa zenu tuna zila kwa uchungu🙏🙏🙏