green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,445
- 39,262
Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara 20 na unawaka.
Dakika 2 unakwata saa zima mpaka mda huu Mitaa ya Kivule ipo gizani na hakuna taarifa yoyote zaidi ya taarifa za kichawa..nyuma ya pazia Tanesco watendaji wamebwetweka wananuka uvundo..Bora kipindi Cha Magu tulishasahau hizi hujuma