Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,426
Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga.
Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa angalia muziki wanaopigiwa, kuanzia kwenye Jukwaa na ule wa back up, yaani ni uvundo mtupu!
Hivi hawa wazee mnawawekeaje muziki wa watoto, wala hata hawatikisiki yaani!
Poor Waandaaji!