Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,603
- 78,176
Haingii Akilini Kila kukicha, utasikia Huyu Kaandaa Dua ya kumuombea Rais Samia.
Huyu Kaandaa Kongamano la kumpongeza Rais Samia.
Huyu Kaandaa Washa ya wakina Mama kumsemea Rais .
Huyu anakuja na Hala Mamaaa
Huyu anakuja na Mama asemewe
Rais anaalikwa hadi kwenye matamasha ya uchekeshaji ambako anashuhudia wavaa nusu Uchi.
Masikio ya Rais yanasikia habari za Matusi tuuupu kutoka Kwa wachekeshaji , Mwanzo mwisho unakuta anamsikiliza Kipotoshi na habari za mashangazi, anakasikiliza kale kadada na habari za kupelekwa motoooooo, na wanaume wenye IST 🤣🤣
Hayo ndio mambo yaloruhisiwa Rais ayasikilize !!! Weweeeeeeeee !!!.
Eehhh Duuhh , ama kweli Mwanasiasa wa Leo Ndani ya CCM hawawaogopi Tena wananchi, hawawaheshimu wananchi , wananchi sio kitu Tena, wananchi wanadharauliwa, wananchi wanaonekana ni mazwazwa, Wana CCM wanaamini Rais Samia ili mradi akupe Goo ahead tayari wee ni Mbunge hata kama wananchi hawakukubali, Leo hii Wana CCM hawaithamini tena Katiba MPYA inayowataka kuwaheshimu Wananchi kwani Mamlaka yao inatoka huko.
Huko nje Kuna Vituo vingi vya watoto Yatima, Kuna Mahospitali, Kuna wamama wajasiliamali wamekosa MTU wa kuwashika, Kuna Vijana wamekoswa wa kuwabusti .
Ila Mchumia Tumbo yupo Radhi ,kutumia Zaidi ya Milioni Ishirini kuandaa tukio la kumsifia Rais Samia, aonekane nayeye anamsifia, ili baadae apewe Ubunge, hata kama Hana Sifa za kua Mbunge, matokeo yake, tumezalisha kizazi Cha viongozi ambao wapatapo Uongozi, anaweza kwanza kurudisha Mtaji wake kwanza !.
Mwenyezi Mungu atusaidie sasa ,Leo tunashuhudia mashindano ya Kupambia tu Ili MTU aonekane !!.
Unajiuliza, hivi nini hasa lengo la huyu MTU ??.
Wengine Sasa, walikua kua Licha ya kusifia kote ,hawautaki Ubunge, ni Ile MTU anatumia hiyo njia ili nyuma yake Afanye madeals ya ajabu na haramu , na kwakua Kaonekana kumsifia Mama, Hata Polisi watamuogopa kuchunguza njia zake !!.
Hii ndio Tanzania !!. Nchi inayohitaji Akina Magufuli, Akina LISSU, Akina MPINA, wengi wengi ili inyooke !!.
Sasa hiyo Si habari, Hivi hata anayesifiwa anayajua hayo? Yaan anafurahiaa kabisa?.
Unakuta Picha ya Rais ambayo ipo Hadi kwenye Mitungi ya Gesi !!.
Kwamba ni Rahisi sana RAIS kuruhusiwa kuhudhuria Matamasha hayo, ila ni ngumu sana Waziri wa Elimu kuruhusiwa kuonana na Rais Kwa mambo makubwa ya Kitaifa!! Eeehh Sasa hiii ndio Tanzania !!!.