Kasi ya kushuka kwa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

Such a nincompoop. Enjoy your ignorance while it last.
Invectives are a nonstarter! Show us the difference, that you are more enlightened than the rest of us lay folks buddy! Otherwise you are yet another good for nothing cheerleader; simply parroting what you dont comprehend boyo!
 
Huwezi kuelewa kama tayari katika fikra zako huna mtazamo chanya katika Serikali ya awamu ya tano.
Watu wengi mmekuwa Wanaharakati na mna chuki za kutisha mioyoni mwenu.
Ukitaka kujua kwa nini Shilingi inashuka kwa kasi dhidi ya Dola inabidi uangalie suala husika kwa mtazamo wa kiuchumi na Biashara na sio Kisiasa za Uanaharakati. Tufanye kazi tujenge TAIFA letu pendwa.
TUNANYOOSHA NCHI, KAZ BAADAE.
 
Maana yake ni kuwa mna import bidhaa nyingi kutoka nje ya nchi na hapa nchini production ni ndogo haikidhi hata mahitaji ya kawaida.
Nani aliyekwambia import nying za bidhaa ndo zinachangia kupanda kwa dola? hakuna kitu kama hicho nataka kukwambia ktk vitu sita vinavyo Influence Exchange Rates swala la importation halipo kupanda kwa dola ni kutokana na uchumi wa US kuimalika na dola imepanda duniani jaribu kuangalia fedha zingine dhidi ya dola wik mbili zilizopita na leo utaona kumbuka report ya maendeleo ya kiuchumi kutoka IMF imetoka juzi na ni report inayoonyesha nchi zilizofanya vizuri kiuchumi duniani

Kama ingekuwa importation ndo zinafanya fedha yako ishuke dhidi ya nyenzie nataka kukwambia hzo ndo nchi zinazofanya importation kwa bidhaa kutoka nchi za nje kuingia ndani
na ukiangalia list hyo karibu nchi zote ni nchi tajiri zenye uchumi mzuri tena na viwanda lakini bado wanaimport bidhaa za nje
1. United States – $2.314 trillion
2. China – $1.743 trillion
3. Germany – $1.339 trillion
4. Japan – $794.7 billion
5. France – $684.6 billion
6. United Kingdom – $654.9 billion
7. Italy – $541.2 billion
8. South Korea – $525.2 billion
9. Netherlands – $514.1 billion
10. India – $488.6 billion

Wakati Tanganyika imprt zetu hazizidi billion 4 na kipindi hiki import hatufanyi sana tunabana matumizi
 
Sisi ni oil importers na bei ya mafuta duniani imeanza kupanda hivyo demand ya $ ikipanda ili kuagizia mafuta, bei ya madafu pia inapanda!! Upo hapo?
 
Huwezi kuelewa kama tayari katika fikra zako huna mtazamo chanya katika Serikali ya awamu ya tano.
Watu wengi mmekuwa Wanaharakati na mna chuki za kutisha mioyoni mwenu.
Ukitaka kujua kwa nini Shilingi inashuka kwa kasi dhidi ya Dola inabidi uangalie suala husika kwa mtazamo wa kiuchumi na Biashara na sio Kisiasa za Uanaharakati. Tufanye kazi tujenge TAIFA letu pendwa.
Nilidhani ungemsaidia kwa kumwelewesha kuhusu mtazamo wa kiuchumi (kama unajua) ili aiswe na mtazamo alionao sasa, kumbe hata wewe una mtazamo hasi dhidi ya wale wanaoitazama serikali ya awamu ya tano kwa mtazamo unaouita hasi. Halafu unabishana kama uko kwenye kijiwe cha kahawa...
 
JK alipoingia madarakani alikuta USD 1 kwa sh 800. kaondoka madarakani USD 1 kwa sh 21190 mpaka 2200. JPM mpaka sasa bado anacheza hapo hapo
Si kweli mkapa ameacha exchange rate ni sh 1000 kwa $ na bajeti ya Trillion 7 na makusanyo ya billion 121.6 kwa mwezi wakati JK ameacha makusanyo ya billion 850 na bajeti ya Trillion 19.6 mbona hili husemi ? au ulitaka exchange rate ya mwaka 2005 mpaka sasa zibaki vilevile Mkapa kakuta exchange rate ya 574.76 mbana ndani ya miaka 10 ikawa sh 1000 na hyo ni flat rate sasa JK kakuta 1000 kaacha 2000 na kitu na hyo ni flat rate tofauti yao iko wapi?
 
Huwezi kuelewa kama tayari katika fikra zako huna mtazamo chanya katika Serikali ya awamu ya tano.
Watu wengi mmekuwa Wanaharakati na mna chuki za kutisha mioyoni mwenu.
Ukitaka kujua kwa nini Shilingi inashuka kwa kasi dhidi ya Dola inabidi uangalie suala husika kwa mtazamo wa kiuchumi na Biashara na sio Kisiasa za Uanaharakati. Tufanye kazi tujenge TAIFA letu pendwa.
Kwanini usiwe na chuki na mwizi aliyekuibia au mtu anayekunyima haki zako?
Ni ngumu Kumeza, ukipanda bangi tegemea kuvuna bangi pia.
 
nimeona asubuhi nikiwa njiani nikashtuka, kwa muda mrefu imekuwa inacheza kwenye 2200
Kwa online, exchange rate kwa leo ni 2,285.66

upload_2017-1-11_12-28-7.png
 
Huwezi kuelewa kama tayari katika fikra zako huna mtazamo chanya katika Serikali ya awamu ya tano.
Watu wengi mmekuwa Wanaharakati na mna chuki za kutisha mioyoni mwenu.
Ukitaka kujua kwa nini Shilingi inashuka kwa kasi dhidi ya Dola inabidi uangalie suala husika kwa mtazamo wa kiuchumi na Biashara na sio Kisiasa za Uanaharakati. Tufanye kazi tujenge TAIFA letu pendwa.
sasa mkuu povu lote hili la nini,Kwan huyo jamaa ameongea nini kibaya hapo?.Na kwa nini umwambie ana mtazamo wa kiuanaharakati wakati ameuliza swali Genuine kabisa ambalo mtu yeyote anaweza kuuliza?...Au unamiliki duka la kubadilishia fedha hivyo unafaidika na hii hali ndo maana un atoa povu watu waki challenge?..Yaani mtu akihoji kitu ana chuki na serikali?.Are you thinking straight?
 
Naomba kuuliza kuna post nilisoma juzi kuna jamaa alikuwa anaonyesha nyumba anaza jenga kama contactor

anakujengea kutoka na uwezo wako sasa naitafuta hii post sione mwenye kujua jamani nijulishie na shida nayo muhim sn.

Mnisamehe kuingilia thread ambayo aiusiani na hilo jambo
 
Nimeuliza dada mmoja wa duka la kubadilishia fedha za kigeni akasema ni wasomali kutoka Kenya ndio wako wengi sana hasa hapa Arusha Tanzania, wananunua kwa kwenda Mbele wakuu zangu
 
Nani aliyekwambia import nying za bidhaa ndo zinachangia kupanda kwa dola? hakuna kitu kama hicho nataka kukwambia ktk vitu sita vinavyo Influence Exchange Rates swala la importation halipo kupanda kwa dola ni kutokana na uchumi wa US kuimalika na dola imepanda duniani jaribu kuangalia fedha zingine dhidi ya dola wik mbili zilizopita na leo utaona kumbuka report ya maendeleo ya kiuchumi kutoka IMF imetoka juzi na ni report inayoonyesha nchi zilizofanya vizuri kiuchumi duniani

Kama ingekuwa importation ndo zinafanya fedha yako ishuke dhidi ya nyenzie nataka kukwambia hzo ndo nchi zinazofanya importation kwa bidhaa kutoka nchi za nje kuingia ndani
na ukiangalia list hyo karibu nchi zote ni nchi tajiri zenye uchumi mzuri tena na viwanda lakini bado wanaimport bidhaa za nje
1. United States – $2.314 trillion
2. China – $1.743 trillion
3. Germany – $1.339 trillion
4. Japan – $794.7 billion
5. France – $684.6 billion
6. United Kingdom – $654.9 billion
7. Italy – $541.2 billion
8. South Korea – $525.2 billion
9. Netherlands – $514.1 billion
10. India – $488.6 billion

Wakati Tanganyika imprt zetu hazizidi billion 4 na kipindi hiki import hatufanyi sana tunabana matumizi
Mkuu Unajua kitu inaitwa Balance of trade?. Import ikizidi export lazima thamani ya pesa ishuke kwasababu ili ununue vitu nnje unahitaji dolar, hivyo demand ya dolar inapanda juu na kusababisha hata bei yake kupanda. Na kwa mantiki hiyo hiyo, unavoimport zaid kuliko kuuza nje maana yake hazina yako ya dolar inapungua ndani ya nchi kitu kitakachopelekea dolar kuadimika na hatimaye kupanda bei. This is Pure Economics hakuna siasa hapo. Hayo mataifa uliyotaja balance of trade kwao ipo vizuri,wana export zaidi kuliko kuimport.
 
Ninashindwa kuelewa kuwa kuna matatizo gani iliyoifanya shillingi ya Tanzania kushuka kwa kasi wiki hii dhidi ya dollar ya Marekani?. Juzi juzi shillingi ya Tanzania ilikuwa Tshs.2180 dhidi ya dollar moja. Jana ilikuwa Tshs.2193.73 dhidi ya dollar moja.

Leo Tshs.2204 dhidi ya dollar moja. Na hii ni taarifa ya BOT na siyo kwenye maduka ya kubadilishia fedha. Kulikoni?.
Tanzania ya viwanda inakujaaaaa
 
Back
Top Bottom