Kashfa ambazo Rais Magufuli hazitaji wala kuziongelea hadharani

Kuna watu wanaishiwa nyimbo wanabaki kupiga makofi tu endeleeni. Mkiisha kosa Sera mtaonekana wapuuzi tu.
 
Jamani mjue kwamba maamuzi ya serikali yanapitia baraza la mawaziri na waloshasema uuzaji wa nyumba zilikuwa Ni maamuzi ya baraza na sio waziri mwenyewe, sawa zilikuwa chini take lkn Baraza liliamua rais akaridhia
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Hapo jirani wame kumbusha Kivuko cha m.v Dar es salaam nacho ni shida.
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
10.Mv dsm
 
Hafanyi mambo kuwafurahisha nyumbu. Aliyokwisha fanya ni makubwa zaidi kuliko kukaa akikimbizana na kagoda na epa. Kwanza zuia wizi usiendelee, kisha fuatilia waliokwisha iba. Kwanza tunaziba mianya.
Naona baada ya hapo ndio ataanza kutumbua lile jipu la mv dsm
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Thubutu ajaribu
 
Ningekuwa magufuli nigewaita wote watuhumiwa wa kashifa zote hizo
Na kukwambia waamie ukawa na NDO utakuwa mwisho wa kashifa zote watanzania kuzisema,
Kwanini nimeona hivyo
Pita kwenye comment za wengi utapata jibu kama langu ,
MFANO ukitoa mtoa mada na Mimi
Hakuna ambaye amejaribu kutaja Richmond hata moja ,lkn rudi NYUMA 2010 /2011/2012/2013/
Kashifa iliyokuwa inauza ambayo kila mtanzania anaijua ni
Richmond lakin sasa hivi ndo bye
Ccm ni majizi wakubwa
 
Magufuli wala hasiangaike nazo 2020 watuhumiwa wote wataamia ukawa ,
Ukosikia zinatajwa tena,
Why hakuna kashfa ya kihistoria Tanzania ilijulikana kwa kila mtanzania ndogo kwa MKUBWA,
Lkn sasa kufika 2020 itakuwa imesahaulika kabisa
==UKOSIKIA==kweli wewe ni mushuti
 
Hafanyi mambo kuwafurahisha nyumbu. Aliyokwisha fanya ni makubwa zaidi kuliko kukaa akikimbizana na kagoda na epa. Kwanza zuia wizi usiendelee, kisha fuatilia waliokwisha iba. Kwanza tunaziba mianya.
wewe ndio nyumbu mwenye makengeza.

swissme
 
Hakuna haja ya magufuli Kuangaika na kashifa hizi
Atumie mbinu moja tu watuhumiwa haongee nao waende ukawa ,
Ukisikia zinatajwa tena ,
Nani angefikili Richmond ingetakaswa kwa mikono ya wanasiasa na vivywa vyao
==VIVYWA=?
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
haya majipu wanatumbuliwa watu ambao hawana links na watu wazito...majipu yanachagua...mtumbuaji mwnyw alitakiwa kutumbuliwa alipokua wizara ya ujenzi
 
Back
Top Bottom