Kashata za kungu suluhisho la 'ashki' kwa kinadada

Habari wadau,Kwa wale wanaume tulio katika ndoa ambazo si changa mtakubaliana nami kwamba wengi wetu tumekuwa tukikumbana na majibu maarufu kama "nimechoka","naumwa","we nawe unataka Kila siku?" na mengi ya Aina hiyo yote yakiwa na lengo la kukataa kushiriki tendo pendwa la ndoa,hali hii huwa mara nyingi haipo nyakat za uchumba na u girlfriend na uboyfriend,ila huanza kujitokeza pale wahusika wanapoanza maisha ya ndoa au Kuishi pamoja.

Ni wazi kwamba si nyakat zote mwanamke anakuwa amechoka Bali kutokana na maumbile au pirikapirika za utafutaj riziki hujikuta anapoteza hamu ya kufanya mapenzi,kutokana na hali hii wengi huwa hatujui namna nzuri ya kurejesha hamu Kwa mwanamke na hubaki tukinung'unika au kuamua kuchepuka mpaka atakapojisikia mwenyewe tena kushiriki tendo hilo,wapo wale wanaotumia vilevi kama amarula nk ili kumuongezea mkewe hamu lakini hii huwashinda wale wasiotumia vilevi Kwa sababu mbalimbali,Kwa wale wasiotumia vilevi ipo njia mbadala ya kuongeza ashki Kwa mwanamke nayo ni ulaji wa kashata za kungu,hizi zinauzwa kariakoo hapo wala si mbali na huweza kupandisha ashki ya hali ya juu Kwa mwanamke zikiliwa,tahadhar mwanamke asile nyingi Kwan atahitaj mwanaume zaidi ya mmoja kumaliza kiu yake,wadau mnaweza kuchangia njia za ziada za kutibu tatzo hili la wake zetu.

Asante
Hivi mkuu kungu zinatokana na nini, zao gani?
 
Back
Top Bottom