Kasaka Arudi CCM!

anaitwa Njelu Kasaka alikuwa mbunge wa Lupa huko Mbeya. alishindwa kura za maoni ndani ya CCM akahamia CUF lakini muda ulikuwa umeisha akawekewa pingamizi na akarudi tena CCM. hajulikani alipo
Aliwekwa chini ya uangalizi na uongozi wa CCM wilaya kabla hawajamrudisha kundini...Huenda ameamu kuwa mjasiliamali huko huko lupa
 
Yuko anatanga tanga kwa kutafuta ubunge hata baada ya kukataliwa na watu wake mwenyewe sisiemu. Namuona anakimbilia huku mara kule sijui anafikiri atarudi mujengo tena?thubutu?!
 
anaitwa njelu kasaka alikuwa mbunge wa lupa huko mbeya. alishindwa kura za maoni ndani ya ccm akahamia cuf lakini muda ulikuwa umeisha akawekewa pingamizi na akarudi tena ccm. Hajulikani alipo

power monger
 
Yuko anatanga tanga kwa kutafuta ubunge hata baada ya kukataliwa na watu wake mwenyewe sisiemu. Namuona anakimbilia huku mara kule sijui anafikiri atarudi mujengo tena?thubutu?!
..Ndio tatizo la kugeuza siasa ni ajira wanapomwagwa huwa wanamwagika kisawa sawa mpaka wanatia kinyaa kuwatazama.
 
Tatizo la viongozi wetu na wana siasa wanatafuta political mileage au popularity ambayo haina msaada kwa wananchi basi wakishtukiwa ndio mwisho wao.
 
GM... Umenena maneno ya busara kabisa... kitu wanachokosea ni kuwa hawajui umaarufu wa "kuchovya" ni tofauti kabisa na umaarufu unaojengwa kwa kusimamia haki za wananchi.
 
Watanzania sijui mnataka nini, kiongozi akiwa mzuri, akaanguka, mnatoa maneno. Matokeo yake sasa kila mtu anachota tu ili ili asikumbwe na balaa huko mbele.

Kama mnatoa hayo maneno kwa Njelu, wengine wanapata fundisho gani? Ndio maana tuna wanasiasa majambazi.

Inatakiwa kumpa pole huyu mpiganaji badala ya kumrushia maneno. Mambo ya TZ ni magumu mno, mtu ukikosa ajira hata miezi sita tu, unaishia kuwa hoi hasa.
 
Pole ya nini maana alijidhihirisha ni power monger kweli na hakuna cha upiganaji wowote? Tunaweza kumlinganisha na mpiganaji gani katika bunge la leo? Hawa wa leo nakwambia we Mtanzania uiwachezee. Wanakuja na hoja na data. Hapo ndipo hata sirikali iliishiwa nguvu:D na sasa huyu Njelu yeye alipogundua kuwa sisiemu wanakasoro kaja mbio upinzani. Alipobwagwa chini kwa sheria maana alileta fomu kachelewa, angetulia kujenga upinzani aliokuwa anaona kuwa una prospects, badala yake kakimbia tena kurudi kule kule akidhani ataonewa huruma kwa kuusema vibaya upinzani huo huo. Tena akawa tayari kuwekwa chini ya marudi;)
Kwisha sasa. Sijui kama atapata tena. Wako damu mpya huko. Machachali kama alivyokuwa yeye. Sasa leo atasema nini?
Aishie mbali hukoooooooo!!!!!!
 
Watanzania sijui mnataka nini, kiongozi akiwa mzuri, akaanguka, mnatoa maneno. Matokeo yake sasa kila mtu anachota tu ili ili asikumbwe na balaa huko mbele.

Kama mnatoa hayo maneno kwa Njelu, wengine wanapata fundisho gani? Ndio maana tuna wanasiasa majambazi.

Inatakiwa kumpa pole huyu mpiganaji badala ya kumrushia maneno. Mambo ya TZ ni magumu mno, mtu ukikosa ajira hata miezi sita tu, unaishia kuwa hoi hasa.

Ndugu yangu Mtanzania, kumbe sometimes na wewe unapandishwa mkenge na hawa viongozi wetu uchwara, yaani ukali wako wote na viongozi wetu ni ili sikumoja uje umsifie Kasaka Njelu kuwa ndiye anayefaa?

Huyu ameleta vurugu za Muungano, alipopewa uwaziri mdogo tu, ameishi mwaka mzima hotelini tena the then Kilimanjaro Hotel, akigoma kabisa kuhamia kwenye nyumba kwa visingizio mbali mbali vya ujanja ujanja ili achome raha hotelini! Leo wewe unamsifia kua huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Kupewa uwaziri tu Muungano ukawa sawa hauna noma tena, kupewa u-RC muungano uko sawa, kukosa tu ubunge CCM haifai ni chama kibovu, katafuta ubunge upinzani nako hakuna basi nao upinzani haufai kabisa kwanza hauna mueleko, sasa yuko benchi tena karudi CCM akisubiri wamuonee huruma wewe unasema huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Muogope Mungu kidogo mkuu, huyu ni mmoja wa viongozi wa mgongo wa Mwalimu, ndio maana Mwalimu apotoweka tu, wakamuweka pembeni maana hata na wao walikua wamesubiri tu, kama walivyomfanyia Salim, Mkuu Mtanzania, huyu Kasaka ni mbababishaji tu na mganga njaaa, sio kiongozi, hivi kabla ya kua kiongozi hakuwa na professional yoyote mpaka wakikosa uongozi inakuwa soo?
 
Ndugu yangu Mtanzania, kumbe sometimes na wewe unapandishwa mkenge na hawa viongozi wetu uchwara, yaani ukali wako wote na viongozi wetu ni ili sikumoja uje umsifie Kasaka Njelu kuwa ndiye anayefaa?

Huyu ameleta vurugu za Muungano, alipopewa uwaziri mdogo tu, ameishi mwaka mzima hotelini tena the then Kilimanjaro Hotel, akigoma kabisa kuhamia kwenye nyumba kwa visingizio mbali mbali vya ujanja ujanja ili achome raha hotelini! Leo wewe unamsifia kwua huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Kupewa uwaziri tu Muungano ukawa sawa hauna noma tena, kupewa u-RC muungano uko sawa, kukosa tu ubunge CCM haifai ni chama kibovu, katafuta ubunge upinzani nako hakuna basi nao upinzani haufai kabisa kwanza hauna mueleko, sasa yuko benchi tena karudi CCM akisubiri wamuonee huruma wewe unasema huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Muogope Mungu kidogo mkuu, huyu ni mmoja wa viongozi wa mgongo wa Mwalimu, ndio maana Mwalimu apotoweka tu, wakamuweka pembeni maana hata na wao walikwua wamesubiri tu, kama walivyomfanyia Salim, Mkuu Mtanzania, huyu Kasaka ni mbababishaji tu na mganga njaaa, sio kiongozi, hivi kabla ya kua kiongozi hakuwa na professional yoyote mpaka wakikosa uongozi inakuwa soo?

Mkuu FMES,

Nimejifunza kitu na inaleta maana. ila umemshukia Mkuu Mtanzania! Labda hakujua kama mimi na wengine kuwa alikuwa anaishi hotelini ati nyumba hazifai.

Unamaanisha nini kuniambia Njelu alikuwa ni mmoja wa viongozi wa mgongo wa mwalimu? Aliaminiwa sana au!
 
Ndugu yangu Mtanzania, kumbe sometimes na wewe unapandishwa mkenge na hawa viongozi wetu uchwara, yaani ukali wako wote na viongozi wetu ni ili sikumoja uje umsifie Kasaka Njelu kuwa ndiye anayefaa?

Huyu ameleta vurugu za Muungano, alipopewa uwaziri mdogo tu, ameishi mwaka mzima hotelini tena the then Kilimanjaro Hotel, akigoma kabisa kuhamia kwenye nyumba kwa visingizio mbali mbali vya ujanja ujanja ili achome raha hotelini! Leo wewe unamsifia kwua huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Kupewa uwaziri tu Muungano ukawa sawa hauna noma tena, kupewa u-RC muungano uko sawa, kukosa tu ubunge CCM haifai ni chama kibovu, katafuta ubunge upinzani nako hakuna basi nao upinzani haufai kabisa kwanza hauna mueleko, sasa yuko benchi tena karudi CCM akisubiri wamuonee huruma wewe unasema huyu ni kiongozi wa kusifiwa?

Muogope Mungu kidogo mkuu, huyu ni mmoja wa viongozi wa mgongo wa Mwalimu, ndio maana Mwalimu apotoweka tu, wakamuweka pembeni maana hata na wao walikwua wamesubiri tu, kama walivyomfanyia Salim, Mkuu Mtanzania, huyu Kasaka ni mbababishaji tu na mganga njaaa, sio kiongozi, hivi kabla ya kua kiongozi hakuwa na professional yoyote mpaka wakikosa uongozi inakuwa soo?

Mkuu FMES,

Mimi simjui Njelu zaidi ya kusoma juhudi zake za kuunda serikali ya Tanganyika na jinsi walivyozimwa na mwalimu. Najua alikuwa mbunge machachari katika kundi la wabunge wabovu sana.

Ni kutokana na sababu hizo naona sio vizuri kuanza kuwakashifu watu ambao japo wamejaribu. Kwa mazingira ya TZ tuna watu wachache sana ambao angalau siku moja moja wanaweza kusimama imara kutetea mambo ya maana.

Ila kama alikataa nyumba na kutaka kushinda Kilimanjaro hotel, watu kama hao mimi sina muda nao. Kwa nchi maskini kutumbua bila huruma hata kwa watu wanaokufa kwa magonjwa na njaa ni kitendo cha aibu mno.

Mimi nilimshangaa alipohama chama. Ninawaelewa watu wanaohama vyama kabla ya kushindwa, lakini ukishindwa tena baada ya kuwa mbunge, ina maana moja tu, umeshindwa ku deliver, kaa, pembeni, jifunze, na subiri siku nyingine.

Asante kwa somo lako kuhusu Njelu. Ila tu kwa TZ hatuna watu wengi wazuri hivyo hata hao wanaofanya mazuri machache, inabidi tuwaunge mkono ili ku encourage watu wengi zaidi kuelewa umuhimu wa kuwa upande wa wananchi.
 
Unamaanisha nini kuniambia Njelu alikuwa ni mmoja wa viongozi wa mgongo wa mwalimu? Aliaminiwa sana au!

Yeye ndiye aliyekua kiongozi wa lile kundi la G55, walipoitwa Msasani na Mwalimu, na kuulizwa exactly tatizo lake na kundi lake lilikuwa ni nini hasa?

Badala ya kudai Tanganyika na Muungano, unajua alidai nini? Alidai kuwa wao wana tatizo kwa sababu wananyanyaswa na kikundi flani cha viongozi ambao wanajiona kua ndio wenye power baada ya Mwalimu, kutoka akasema wazi kwamba Muungano wala sio tatizo lao!

That gave Mwalimu an easy way kuishambulia serikali iliyokuwepo madarakani na hatimaye kufungua njia ya kumuingiza Mkapa, kwenye power na since then akafahamika kama ni mtu wa Mwalimu, among all politicians wa bongo, kati ya aliowashitaki kwa Mwalimu Msasani, ni pamoja na Muungwana na Lowassa,

Sasa mkuu bado unashangaa kuwa kwa nini yuko out of the game sasa hivi? Unajua Mtandao waliwashughulikia ipasavyo wale wote viongozi kama Kasaka!, Gama akiwa mmojawapo!
 
Watanzania sijui mnataka nini, kiongozi akiwa mzuri, akaanguka, mnatoa maneno. Matokeo yake sasa kila mtu anachota tu ili ili asikumbwe na balaa huko mbele.

Kama mnatoa hayo maneno kwa Njelu, wengine wanapata fundisho gani? Ndio maana tuna wanasiasa majambazi.

Inatakiwa kumpa pole huyu mpiganaji badala ya kumrushia maneno. Mambo ya TZ ni magumu mno, mtu ukikosa ajira hata miezi sita tu, unaishia kuwa hoi hasa.

Wacha niulize
CCM wakamtema, akaona hapana naenda CUF kisa madaraka wakamwekea Pingamizi akaamua kurudi CCM , na sasa unataka apewe huruma ipi ? Yaani Kasaka na Tambwe , Kaburu, Nsanzugwako,Mtemvu, Lamwai na wengine weengi wawaita ni wapambanaji ?

Mtanzania mbona nakuamini sana katika hoja umekuwaje siku hizi ?
 
Yeye ndiye aliyekua kiongozi wa lile kundi la G55, walipoitwa Msasani na Mwalimu, na kuulizwa exactly tatizo lake na kundi lake lilikuwa ni nini hasa?

Badala ya kudai Tanganyika na Muungano, unajua alidai nini? Alidai kuwa wao wana tatizo kwa sababu wananyanyaswa na kikundi flani cha viongozi ambao wanajiona kua ndio wenye power baada ya Mwalimu, kutoka akasema wazi kwamba Muungano wala sio tatizo lao!

That gave Mwalimu an easy way kuishambulia serikali iliyokuwepo madarakani na hatimaye kufungua njia ya kumuingiza Mkapa, kwenye power na since then akafahamika kama ni mtu wa Mwalimu, among all politicians wa bongo, kati ya aliowashitaki kwa Mwalimu Msasani, ni pamoja na Muungwana na Lowassa,

Sasa mkuu bado unashangaa kuwa kwa nini yuko out of the game sasa hivi? Unajua Mtandao waliwashughulikia ipasavyo wale wote viongozi kama Kasaka!

I salute you kwa Data zinazoendana na hali halisi.
 
Uwezekano wa Kaska kurudi kwenye power ni zero, kwa sababu kule Rukwa kuna Kimiti na Mzindakaya, ambao ni pure Mtandao hasa Mzindakaya,

Kwa hiyo posibility ni nadra!
 
Nyambala,

Ni kweli mkuu, Njelu alikuwa anawakilisha jimbo la Lupa, Chunya ambako sasa mbunge wao ni Mwambalaswa.

Mtanzania,

Hivi Mh. Mwambalaswa, Mbunge wa Lupa naye originally ni kutoka Kyela nini?? ... maana jamaa yuko bega kwa bega sana na Dr. Mwakyembe
 
Kipunguni,

Sijui mkuu, simfahamu vizuri huyo Mwambalaswa zaidi ya kujua kwamba alikuwa anatuuzia sigara zituue vizuri(alikuwa mfanyakazi wa kiwanda cha sigara).

Si unajua kule kwetu watu walienda chunya kutafuta dhahabu na wengi wakabaki huko huko?

Huenda naye ni sawa na Mwang'onda aliyeenda Tabora kuvuna Tumbaku na akabaki huko huko.
 
Back
Top Bottom