mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,548
- 644
Kuna siku Pasco aliongea kitu hapa watu huwa hamzingati, hizi lawama za kwa jecha hazina mantiki yoyote haijalishi alikuwa sahihi au hakuwa sahihi kufuta uchaguzi huo, Cuf wao walitakiwa kufungua mashtaka waishtaki nec na jecha wake badala kulia lia kusikoisha.Kuna mtu kasema jf kuna mazuzu wengi .mimi nakuunga mkono mia kwa mia.maalim sefu alitangaza matokeo yaliokua yamebandikwa na zec kwenye maeneo yote .pili kosa hilo linamhusu maalim seif binafsi na linaadhabu yake imefafanuliwa vizuri tu.lakini kura za wananchi zinakosa gani mpaka zifutwe?lakini pia haya mazuzu yaulizwe ni muwakilishi gani au diwani alijitangaza?mbona na wao wamehukumiwa ?na wao hawahusiani kabisa na jecha .acheni kwa mizuzu
Kweli mkuu ni hatua nzuri hiyo unayoiongelea lakini kwa mtu makini hatomalizia hapo ataenda mbele zaidi na kujiuliza huyu binti kimemsibu nini mbona hatujawahi kumsikia siku zote apart alivokuwa na kesi na wale watu wa kanisa kuhusu ardhi waliyopora. kwanini alijificha miaka yote wakati nchi hii ilimuhitaji kuliko mda huu.Baba kuwa na matatizo hakukufanyi kuwa bubu na kukosa hekima ya kujua kushinda na kushindwa.
Pia lazima tuwe na hatua ya kuanza kutatua matatizo