Ccm ipi itakayo fanya uteuzi huo?
Hivi minyukano yote ndani ya ccm itakuwa bado tu haijafa!
itakuwa ajabu ya nane ya Dunia.
Wana JF
Kuna tetesi kuwa CCM wanampango wa kumpitisha Rais mstaafu wa Zanzibar katika kugombea urais 2015. Hoja ni kuendeleza mbinu yao ya kutumia udini ili kushinda katika uchaguzi huo pia wataleta ushawishi kuwa ameweza kutuliza ghasia za kisiasa Zanzibar watakapochakachua lengo ni kuwa na Serikali ya umoja wa kitaifa na huku bara. Hii mnaionaje?
Source: Sema usikike
Zanzibar in nchi kamili kwa sasa.Je tuko tayari kutawaliwa na foreign individuals.ukoloni huo hana chake
Nakumbuka kisa kimoja cha Amani Abedi Karume mwaka 2005, alikuwa kwenye mkutano na mama mmoja maarafu sana wa chadema, ndio ilikuwa mwanzo mwanzo wa uongozi wa raisi Kikwete, Kikwete akiwa anahutubia akamnong'oneza mama wa Chadema ambaye ni mzanzibari kwamba amechoka na anataka akamumzike.....na jamaa alikuwa hajahutubia hata nusu saa......
katika watu wavivu duniani huyu jamaa yumo
Lowasa for presidential 2015, zamu yetu wakristo sasa
Upuuzi tu. Kila kitu Ukristo na Uislam, hivi hakuna cha maana tukijadili?
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Ya Wazanzibar yanatuhusu nini Sisi Watanganyika?Si walibadilisha katiba yao,labda inakipengele kinaruhu arudie tena ili aje apambane na Hamad rashidi
ni uraisi wa Tanzania na sio wa zanzibar.kule hawez tena mda umeisha
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Ya Wazanzibar yanatuhusu nini Sisi Watanganyika?Si walibadilisha katiba yao,labda inakipengele kinaruhu arudie tena ili aje apambane na Hamad rashidi
ni uraisi wa Tanzania na sio wa zanzibar.kule hawez tena mda umeisha
Someone is dreaming, while awake here.....