It's contrary, kwa maoni yangu Zitto is among the very few MPs ambao wako well informed tatizo ni uelewa finyu miongoni mwetu.Umeshamtaja Zitto, basi hapo ni punyeto tu...Zitto is an opportunist by profession na hafai hata kusikilizwa maana he never makes sense but thrives on scandals.
Umeshamtaja Zitto, basi hapo ni punyeto tu...Zitto is an opportunist by profession na hafai hata kusikilizwa maana he never makes sense but thrives on scandals.
Sorry update ilisumbua kwa sababu lugha gongana. Si unajua tena sisi watu wa kabila la mfalme lugha za watu hazipandi kiviletupe updates mkuu, mawazo yote kinzani...
Kwa Anglophone zote, kizungu ni lugha ya Malikia.Lugha ya wazungu ni ipi Kiongozi? Kifaransa? Kireno? Kihispania? Kidanish? Kirusi? au Kipolish?