Wewe unapata nini sasaa??Habari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi)
Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure.
0624254690
Oohh sawa sawa asante....utatafutwa niko Pugu kwa ndani kidogoSwali zuri mkuu.
Bei sawa na bure ni sawa na ningeandika "gharama rafiki, gharama nafuu"
Kwa ufupi nakufanyia kazi nzuri kwa bei rafiki.
Karibu
Ni sawa na bure mkuu, siyo bure kabisa.Kama ni sawa na bure, si ufanye tuu bure
Asante mkuu kwa maoni yako.Je unaweza kujenga kila utakakohitaka - Misenyi, Mbaba Bay, Tanganyika - Katavi, Lupaso - Masasi n.k?
Weka tangazo lako vyema ndg, naona hata kujitangaza umerajisisha sana
SawasawaHabari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi)
Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure.
0624254690
sawa mkuu.Mkuu
Naomba useme unahesabu tofali au unalipwa kwa makubaliano ya kuzingatia idadi ya siku au???