Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,097
- 53,493
mimi nadhani hapo nape kakurupuka, hiyo kazi hata mgambo angeweza kuiifanya. tatizo katka serikal hii kila mtendaji
anataka aonekane kwenye camera ili kumrdhisha ailye mteua.
Na walikuja na camera kabisa?