Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,007
- 14,213
heshimu imani ya mtuIko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba.
Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema sasa, je, nitumie mbinu gani nimkule tuuu niachane naye.