Uoga unachangia sana plus unafki wa baadhi ya watumwa.Sasa kama kuna wanyamwezi zaidi ya 10 wamembeba mzungu/mwarabu kwenye kiti then wanapita juu ya daraja na mlizi mmoja tu na washindwa kumrusha huyo mkoloni darajani na kumpa vitasa huyo mlinzi mwenye bunduki moja ambayo baada ya risasi moja lazima ulikoki dakk kama 5. Kweli ilikuwa ni Choice
.Habari bila picha/videoclip haina mashiko miaka hii.
"When you hear about slavery for 400 years. For 400 years?! That sounds like a choice. Like, you were there for 400 years and it's all of you all? You know, it's like we're mentally in prison. I like the word prison 'cause slavery goes too -- too direct to the idea of blacks," he said in the interview. "So prison is something that unites us as one race, blacks and whites being one race. We're the human race."
What do you think brothers and sisters from another mother?
I totally agree, freedom of speech is guaranteed, but not freedom after speech even in the USA, a mother of democracy.Mimi nilichokiona kwa hii interview ambacho watu wanakipinga ni “slavery was a choice” and “his love for Trump”.
Sasa hapa watu wamechukulia tu hayo maneno kwamba slavery was a choice bila pengine hata ya kusikiliza the interview.... what he real said was “ slavery for 400 years? 400 years thats sounds a lot like a choice. Kwa mtizamo wangu alichokimaanisha Kanye ni kwamba 400 years ni generations kibao zimepita and Blacks seems like they did not put enough fight to this evil thing kiasi kwamba the not the body itself was enslaved but even the mind.... Na point ya yeye kumpenda Trump ni mtizamo kama mtizamo wa kumchukia Tramp.... all in all I can say what Kanye did was brilliant... to have a free mind.. to talk freely without the fear of being hated by his black community... that was new and strong staff bro.. hat off for Kanyee.
Kama umri 0-5 unaathiri maisha yote ya mtoto. Miaka 400 ya utumwa impact yake ni beyond measures.Watu weusi tunatakiwa tubuni vitu vipya badala ya kuendelea kulaumu kwa vitu vya zamani ambavyo hata tufanyeje hatuwezi badili uhalisia
Slavery was/is institutionalized sio kama mnavyofikiri. Mfano akimtupa mtoni anaenda wapi ? Atakaposafiri popote atatakiwa kujulikana anatoka kwa master yupi ?? Na kulikuwa na kampuni za kutafuta slave waliotoroka....it was not a choice plan and simple.Sasa kama kuna wanyamwezi zaidi ya 10 wamembeba mzungu/mwarabu kwenye kiti then wanapita juu ya daraja na mlizi mmoja tu na washindwa kumrusha huyo mkoloni darajani na kumpa vitasa huyo mlinzi mwenye bunduki moja ambayo baada ya risasi moja lazima ulikoki dakk kama 5. Kweli ilikuwa ni Choice