Pre GE2025 Kanuni za Uchaguzi Mkuu; Wabunge, Madiwani, na Mawakala hawatapewa nakala za Matokeo wala hayatabandikwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
22,279
49,811
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili timamu kweli. Eti Leo ACT nao wanalipongeza Kanisa Katoliki kama sio unafiki ni nini.

Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.

Go_FnyDWUAAoJtA.jpg
 
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili zao au walishikiwa. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.

View attachment 3310384
Walishonewa SUTI za bei rahisi, nauli Ndege, SGR kwenda kurudi na posho ya elfu 350,000 kwa siku!!

Hawana tofauti na babu zetu waliouza watoto wao kwa WAARABU kwa ujira wa tende bna haluwa tu....😂😂🤣🤣
 
Walioziandaa na Waliosaini hizi kanuni walikuwa na akili zao au walishikiwa. Chadema wako sahihi kabisa. No Reforms, No Election.

View attachment 3310384
Gentleman,
huu ni upotoshaji na hakujawahi kua na script ya uchochezi kama hiyo kwenye chaguzi za Tanzania.
Matokeo hutangazwa kwenye vituo vya kupigia kura na kubandikwa kwenye mbao za matangazo na kila mTanzania anajua na kufahamu hivyo na sio upotoshaji huo 🐒
 
Sawa.
 
Walichokifanya hao waliosaini hizo Kanuni hakina tofauti na akina Chifu Mangungo wa Msovero wakati wanaingia mikataba na akina Carl Peters 😜

Lengo la kuweka hizo Kanuni wanataka matokeo yasihojiwe mahakamani, maana ushahidi hautapatikana wa matokeo
 
Back
Top Bottom