zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 9,454
- 15,367
Link yao ipo waapiHujatembea wewe nenda South Africa Johannesburg pale Kempton Park wana hekalu Lao.
Link yao ipo waapiHujatembea wewe nenda South Africa Johannesburg pale Kempton Park wana hekalu Lao.
Sasa mboni hazizungumziwi mitandaoni Google uone km utaona chochote msitufanye watoto siku hizi kila kitu mtandaoni kipo open, huwezi sema watu baki ni watu wanaojihusisha na hio imani yao ndio wamefungua websites, haya nionyeshe websites za watu baki kutoka SA wanaozungumzia hao mnaowasema weka hapaHakuna website ya Freemason Hao ni watu baki tu wanazungumza kuhusu Freemasonry halafu huwezi linganisha kanisa ambalo limeanzishwa juzi na taasisi kongwe kama Freemasonry ambayo Ina zaidi ya miaka elfu2
Link ya nini? Mbona unaishi kwa kukariri mkuu? Likud anazungumzia vitu vya live wewe unasema Mambo ya link tenaLink yao ipo waapi
Sio conspiracy mkuu ni kweli kanisa lipo Maryland USA, South Africa etc.Hizo ni conspiracy theory tu
Hizo ni conspiracy theory tu
Kwani hapa tunafanyaje au hapa sio mtandaoni?Sasa mboni hazizungumziwi mitandaoni Google uone km utaona chochote msitufanye watoto siku hizi kila kitu mtandaoni kipo open, huwezi sema watu baki ni watu wanaojihusisha na hio imani yao ndio wamefungua websites, haya nionyeshe websites za watu baki kutoka SA wanaozungumzia hao mnaowasema weka hapa
Hakuna imani iliyoanzishwa na Mungu. Kama ipo niletee uthibitisho.Sio kweli
UislamuHakuna imani iliyoanzishwa na Mungu. Kama ipo niletee uthibitisho.
Hamna kitu.Uislamu
Uislamu dini ya Mwenyezi MunguHamna kitu.
FactUislamu dini ya Mwenyezi Mungu
Delusion.Uislamu dini ya Mwenyezi Mungu
Hizo kashfa mkuuDelusion.
Kivipi?Hizo kashfa mkuu
Si unavyo uponda uislamuKivipi?
Kanisa maana yake ni kusanyiko lenye kueneaInakuwaje unaliita kanisa huku ukijua mungu wao sio yule wa KIBIBLIA?Kwanini isiwe hekalu,sinagogi...?wapinga kristo wana mbinu za nyingi sana za upotoshaji.
Sijauponda. Nimesema dini zote, ukiwemo uislamu zilianzishwa na binadamu.Si unavyo uponda uislamu
Sio kweliSijauponda. Nimesema dini zote, ukiwemo uislamu zilianzishwa na binadamu.