Kanisa linalo muabudu Rapper Lil Kim kutoka Marekani kama " Muungu wao mkuu" ( Supreme Goddess)

Yaan km kitu hakipo YouTube hakipo hata Google kwa technology ya sasa mimi naona ni uzushi tu, wangekuwepo kweli lazima wangeji-brand
 
Labda niwaeleze jambo dogo wasanii ni wapotoshaji katika jamii ila napenda sana wasanii wa marekani wako realy sana we fuatilia mistari ya nyimbo zao wao ni wafuasi wa shetani amini nami pamoja na wafatilie utagundua usiyoyajua
Bila ufuasi wa shetani utoboi kwenye musiki
 
Freemasons hawajitangazi wewe acha ubishi
Unaelewa maana ya branding au unafyatuka tu toka kichakani kukata kimba? Wasingejitangaza nani angewajua? Website zao kibao wanajizungumzia sio kujitangaza huko? Shule umemaliza mwaka gani?
 
Unaelewa maana ya branding au unafyatuka tu toka kichakani kukata kimba? Wasingejitangaza nani angewajua? Website zao kibao wanajizungumzia sio kujitangaza huko? Shule umemaliza mwaka gani?
Hakuna website ya Freemason Hao ni watu baki tu wanazungumza kuhusu Freemasonry halafu huwezi linganisha kanisa ambalo limeanzishwa juzi na taasisi kongwe kama Freemasonry ambayo Ina zaidi ya miaka elfu2
 
Brand andika hio holy fyoko of lil km italeta kitu chenga tu
Hujatembea wewe nenda South Africa Johannesburg pale Kempton Park wana hekalu Lao.

It is operating as a secret society.

Halafu una shida gani kichwani mkuu? Sema usaidiwe haraka.

Mtoto wa kiume kutukana sio Hip Hop
 
100 percent Fact
 
Back
Top Bottom