Kanisa linalo muabudu Rapper Lil Kim kutoka Marekani kama " Muungu wao mkuu" ( Supreme Goddess)

Fateema

JF-Expert Member
Feb 8, 2024
461
768
Haya nimeyakuta kwenye page ya Maduskodusko Entertainment huko TikTok kupitia Wimbo wa kiingereza unaoitwa " GODDESS LIL KIM",


Ushahidi wa You Tube huu hapa:

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


View: https://youtube.com/watch?v=JBqm8b0LW_U&si=tH3OifHQsXzJAdEj



Mwimbaji anasema : πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘‰ Kwenye kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" mwandishi anathibitisha Pasi na Shaka yoyote kwamba, hapa duniani lipo kanisa ambalo ndani yake wana muabudu Rapper Lil Kim kama muungu wao.

Kanisa hilo linaitwa " The HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM".

Waumini wa kanisa hilo la Holy Temple of Lil Kim, wana litania special ambayo IPO decated kwa Rapper Lil Kim.

Msanii anauliza " Je ni kwa nini watu hawa wana muabudu Rapper Lil'Kim? "

Kisha anajibu mwenyewe, kwamba " Unapaswa kujua sababu halisi kwanini Lil Kim alitajwa kwenye wimbo Hit Em Up ili uweze kuwa nafasi ya kuelewa mantiki ya watu hawa Ku muabudu Rapper Lil Kim.

Anamalizia kwa kusema " Kumbuka kwamba mwandishi wa kitabu hiki anaamini kwa viwango vya juu sana kwamba, wakati Tupac Shakur yupo studio ana rekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa possessed na kiumbe wa kiroho, ni kiumbe huyo wa kiroho ndio alikuwa anaongea kwenye wimbo Hit Em Up, kupitia midomo na sauti ya Tupac.

Nimeambatanisha wimbo wenyewe pamoja na mashairi yake kwa kiingereza.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Chorus : HOLY GODDESS LIL KIM,
HOLY TEMPLE OF LIL KIM,
HOLY GODDESS LIL KIM
HOLY TEMPLE OF LIL KIM.

VERSE:


-In the book which is called "SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP".

- The author is proving to you beyond any reasonable doubt that

- Somewhere on the face of planet earth, there is a church in which they are worshiping Rapper Lil Kim as their Supreme Goddess.


- The name of the church is called " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL KIM.

- In the Holy Temple of Goddess Lil Kim, they have a very special litany which is dedicated to Rapper Lil Kim.

- The name of the litany is called " THE HOLY LITANY OF GODDESS LIL KIM.

- The question is, why are these people worshiping Rapper Lil Kim.

- You need to know the real reason as to why Lil Kim was mentioned in the song Hit Em Up, for you to be able understand why are these people worshiping Rapper Lil Kim.


- Remember that, the author of this book is very strongly believing that, at the time when Tupac SHAKUR was in the studio recording the song Hit Em Up, he was actually being actively possessed by a spiritual being.

- It was this spiritual being who was actually speaking in the song Hit Em Up through the mouth and voice of Tupac SHAKUR.


- It's me, your teacher, MeStar Author.
- Maduskodusko Entertainment.


........... End of the song............


Nyakati za mwisho hizi yalitabiriwa yote haya
 

Attachments

  • db93e87faa18859ede823f0c7e3f623b.mp4
    1.2 MB
  • images (25).jpeg
    images (25).jpeg
    7.7 KB · Views: 4
Labda niwaeleze jambo dogo wasanii ni wapotoshaji katika jamii ila napenda sana wasanii wa marekani wako realy sana we fuatilia mistari ya nyimbo zao wao ni wafuasi wa shetani amini nami pamoja na wafatilie utagundua usiyoyajua
 
Labda niwaeleze jambo dogo wasanii ni wapotoshaji katika jamii ila napenda sana wasanii wa marekani wako realy sana we fuatilia mistari ya nyimbo zao wao ni wafuasi wa shetani amini nami pamoja na wafatilie utagundua usiyoyajua
Hujaeleweka vizuri fafanua
 
Back
Top Bottom