Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 11,812
- 15,580
Comments zingine zinakera humu jf! Unaweza ku- support matendo ya ubaradhuli kweli?Hongereni jamani ila jina halimfungi mtu, mtu atafungwa kwa makosa yake mwenyewe. Ila, huyo huyo nguli akumbuke kuwa Mokiwa alishawahi kuwa Askofu wake mkuu.
Jamani, hebu tuyamalize mambo yetu kindani zaidi kuliko magazetini. Mengine, tumwachie Mungu kwani ndiye aliye waita kuwa watumishi wake. Mungu hamhitaji nguli wa sheria, analituma Neno lake na mwizi anazirudisha kwa kilio.
Swali la kizushi tu:
Tangu ziliwe hizo fweza, huyu fukunuku aliyekwenda kuchimbua uozo huo, inamaana alikuwa hauji kuwa Mungu alikuwa anajua?? Kwa nini Mungu akamruhusu huyo mwizi ajilambie kiulaini tu?? Ya ngoswe tumwachie ngoswe. Mungu alilijua hili tangu hata kabla ya dunia kuumbwa.
Mnawafurahisha wapenda udaku tu
Yaani mtu unaungamkono wizi! Kwamba kwani wakati anaiba Mungu hakumuona?
Sikia hata wewe ukiwa mmoja wao hao majizi, huwezi kutetea kwa kujaza jaziba za watu kiasi hicho.
Nashindwa kupata neno la maana likufaalo kukulinganishia kwa kukutamkia. Maana naweza nikaangukia kwenye "bani"la mods kwa kuonekana nimekutusi matusi ya nguoni.