janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
- Thread starter
- #41
ahsante ndugu yangu baada ya kugundua hilo nimeacha kabisa nashkuru mwanamke hanitafuti tatizo limebak kwa mumewe ila hope ataacha nayy junisumbuaNakumbuka mwaka 2009 nilikuwa nafanya kazi Mwanza rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa baadhi ya wanawake hawana huruma,nilipomdodosa aliniambia (na yeye alikuwa amekutwa na jambo kama lako),Cha msingi Mwombe sana Mungu ili akuepushe na hali hiyo,pia hii ikufundishe utafute mtu ambaye yuko serious ili muanze maisha ya ndoa,nakutakia siku njema.