KANDA YA PWANI: Wenyeviti na Viongozi wengine wanaomuunga mkono Tundu Lissu nao wakutana na kutoa tamko lao la kumtaka Freeman Mbowe akalee wajukuu

Tuwe na subira!
Mbowe akitaka nimuheshimu mpaka mwisho basi amuachie madaraka TUNDULISSU!
 
Hali huko CCM ni mbaya sana kuhusu HANGAYA Kugombea Mwakani, isipokuwa wao hawana ujasiri wa kusema wameyaweka moyoni mambo yao.
Wanaogopa.

CHADEMA Kuna democrasia ndo maana watu wanajieleza kwa uwazi
Kwa yanayoendelea,CCM na CDM ni vitu viwili tofauti.
Maji na Mafuta vimejitenga,wenye akili timamu wote wameona.
Watu wanafanya Siasa za Kizandiki,wanaibuka watu Jasiri kutetea Umma wanaonekana wahaini na Vituko!
Na watu bado wanatetea Ujinga!
Ndio Upinzani huu!
Huu umekuwa zaidi ya Uchaguzi!
Lissu amegawana Mbao Tayari.
Uchaguzi huu ndio utakaomua uwepo wake ndani ya Chadema!
 
Hawa vijana wapo vyema vichwani na mioyoni mwao kuliko chawa.

Sina shaka ushauri wa hawa vijana utafuatwa na Mbowe. Mbowe hawezi kuhadaiwa na wale chawa.
 
Kwa yanayoendelea,CCM na CDM ni vitu viwili tofauti.
Maji na Mafuta vimejitenga,wenye akili timamu wote wameona.
Watu wanafanya Siasa za Kizandiki,wanaibuka watu Jasiri kutetea Umma wanaonekana wahaini na Vituko!
Na watu bado wanatetea Ujinga!
Ndio Upinzani huu!
Huu umekuwa zaidi ya Uchaguzi!
Lissu amegawana Mbao Tayari.
Uchaguzi huu ndio utakaomua uwepo wake ndani ya Chadema!
Nime kusoma karibu mara tatu (na hiyo siyo kawaida yangu), lakini bado sielewi hasa unazungumzia nini?

Mstari wa kwanza, nilipo usoma nikakubaliana na wewe moja kwa moja. Sioni mfananisho wowote kwa haya yanayo endelea sasa CHADEMA, na yanayo fanyika CCM.
Ni sahihi kabisa, kwenye huo mstari wa pili kwamba "wenye akili timamu" wanaona na kuelewa tofauti hiyo, kati ya CCM na CHADEMA hii inayo gombaniwa sasa.

Mkanganyiko ume anzia hapo kwenye mstari wa tatu. Unasema "watu wanafanya siasa za kizandiki..."; ni watu wa chama gani hawa, CCM au CHADEMA au vyote kwa pamoja?

Hawa "wanaoibuka kijasiri kutetea umma", ni akina nani hawa, wa chama gani? Nilipo kusoma mara ya kwanza nikaelewa kuwa unamzungumzia Tundu Lissu kuwa ni "jasiri mwenye kutetea umma". Lakini maneno yaliyo fuata hapo ya kwamba "wanaonekana na vituko!"; haieleweki kama bado unamzungumzia Lissu, au unazungumzia viongozi jumla tu bila ya kulenga yeyote!

Sasa sijui ni "watu gani wanatetea Ujinga" waTanzania kwa ujumla wetu, au watu wa CCM au CHADEMA?

Huku mwisho ulipo jikita kuzungumzia "upinzani, hsusani CHADEMA
Ndio Upinzani huu!
Huu umekuwa zaidi ya Uchaguzi!
Hakusaidii chochote andiko lako linalenga kueleza nini hasa. Pengine wewe unge fafanua kidogo uelewa wako wa upinzani unao ujuwa inge saidia kidogo wasomaji kuelewa ulicho taka kuwasilisha.
Mvuruganyo katika mawazo yako uliuhitimisha kwa hiyo mistari miwili ya mwisho.
Unasema, "Huu umekuwa ni zaidi ya uchaguzi"
Lissu amegawana Mbao Tayari.
Uchaguzi huu ndio utakaomua uwepo wake ndani ya Chadema!
Ni kama unamlalamikia au unamlaumu Lissu kwa yeye kugombea nafasi ndani ya chama chake. Hili kwako sijui kama unaliona kuwa ni kosa!

Niseme wazi, hata sijui kama hata wewe mwenyewe ukisoma mistari hii uliyo andika, kama utaelewa ulikuwa unalenga kuwasilisha hoja gani hasa!
Sijui kama ni uandishi mgumu, au kutojuwa jinsi ya kuandika kitu kieleweke kwa urahisi zaidi.
 
Lisu anatosha. Huyu Mbowe mchango wake ktk chama unathaminiwa na atabakia kama mshauri wa chama.
 
Hali huko CCM ni mbaya sana kuhusu HANGAYA Kugombea Mwakani, isipokuwa wao hawana ujasiri wa kusema wameyaweka moyoni mambo yao.
Wanaogopa.

CHADEMA Kuna democrasia ndo maana watu wanajieleza kwa uwazi
na hili litawapa clearence chadema kuwa wana demokrasia ya kweli kama mbowe ata step down uenyekiti kuachia na mwingine aongoze
 
Naona Viongozi toka Kanda ya PWANI inayoongozwa na Boniface Jacob ( Boni Yai ) wameamua kusimama kinyume na msimamo wa Mwenyekiti wao huyo.

Mtakumbuka Mwenyekiti huyu wa Kanda alitoa kalipio Kali kwa Tundu Lissu kumtaka asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Taifa badala yake amwachie Bw Freeman Mbowe.

Je, Viongozi hawa wameamua kupuuza vitisho hivyo vya Mwenyekiti wao na kumuunga mkono Lissu hadharani?

View: https://www.youtube.com/live/eroO4Y32uvo?si=O-8-gro6JFzkX8UP

Hii ni setup ya Boniface Jacob.

Jamaa ni yai haswaa
 
Sikisemi CDM kwa ubaya lakini wameonyesha udhaifu mkubwa,hoja wanayoitoa wapinzani wa lissu huko Chadema kwamba Mikononi mwake Chama kitapasuka,au Hana uwezo wa kuongoza Chama kwa sababu ni Mropokaji!.kwa kweli zinaogofya!
Huyu mtu alikuwa mgombea Urais wenu,Makamu Mwenyekiti wenu!..Leo Ghafla anageukaje kituko kama hivi ambavyo tunaaminishwa!
Mmekosa hoja yoyote ya msingi zaidi ya Mapenzi binafsi na maslahi kutoka kwa mbowe!
CDM imewaangusha sana Wananchi,imejivua Nguo hadharani!.
Lissu ni mkweli isivyo Kawaida,hii ni Sifa yake ya Kipekee sana!
Hakuna wanasiasa wengi wa aina yake.
Ningekuwa CDM ningempigia Kura yangu kwa Uaminifu Mkubwa sana.

Go Mnyampaa,you CAN.
Sana kiongozi na ndio alikuwa mwanasheria mkuu wa chama na pia alikuwa mnadhim mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni
 
Nime kusoma karibu mara tatu (na hiyo siyo kawaida yangu), lakini bado sielewi hasa unazungumzia nini?

Mstari wa kwanza, nilipo usoma nikakubaliana na wewe moja kwa moja. Sioni mfananisho wowote kwa haya yanayo endelea sasa CHADEMA, na yanayo fanyika CCM.
Ni sahihi kabisa, kwenye huo mstari wa pili kwamba "wenye akili timamu" wanaona na kuelewa tofauti hiyo, kati ya CCM na CHADEMA hii inayo gombaniwa sasa.

Mkanganyiko ume anzia hapo kwenye mstari wa tatu. Unasema "watu wanafanya siasa za kizandiki..."; ni watu wa chama gani hawa, CCM au CHADEMA au vyote kwa pamoja?

Hawa "wanaoibuka kijasiri kutetea umma", ni akina nani hawa, wa chama gani? Nilipo kusoma mara ya kwanza nikaelewa kuwa unamzungumzia Tundu Lissu kuwa ni "jasiri mwenye kutetea umma". Lakini maneno yaliyo fuata hapo ya kwamba "wanaonekana na vituko!"; haieleweki kama bado unamzungumzia Lissu, au unazungumzia viongozi jumla tu bila ya kulenga yeyote!

Sasa sijui ni "watu gani wanatetea Ujinga" waTanzania kwa ujumla wetu, au watu wa CCM au CHADEMA?

Huku mwisho ulipo jikita kuzungumzia "upinzani, hsusani CHADEMA
Hakusaidii chochote andiko lako linalenga kueleza nini hasa. Pengine wewe unge fafanua kidogo uelewa wako wa upinzani unao ujuwa inge saidia kidogo wasomaji kuelewa ulicho taka kuwasilisha.
Mvuruganyo katika mawazo yako uliuhitimisha kwa hiyo mistari miwili ya mwisho.
Unasema, "Huu umekuwa ni zaidi ya uchaguzi"
Ni kama unamlalamikia au unamlaumu Lissu kwa yeye kugombea nafasi ndani ya chama chake. Hili kwako sijui kama unaliona kuwa ni kosa!

Niseme wazi, hata sijui kama hata wewe mwenyewe ukisoma mistari hii uliyo andika, kama utaelewa ulikuwa unalenga kuwasilisha hoja gani hasa!
Sijui kama ni uandishi mgumu, au kutojuwa jinsi ya kuandika kitu kieleweke kwa urahisi zaidi.
Usifanye Maisha kuwa magumu,kama huelewi unaacha tu.
Maneno meengi!
 
Back
Top Bottom