Mkuu zile Coaster zako pale Ubungo External si unaweza kung'oa zile siti ukaweka kama hizi?sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishana
Waha na lile kabila kubwaaaa linalokotoka jiweWakishaanza kupanda wanyakyusa na Waha mtaniambia
Unazungumzia ndege ipi mkuu?Hakuna jipya hapo shabiby za kwenda dodoma, bado ni bora kabisa, na choo safi na seat za kisasa kabisa, anyway seat ni bora.kuliko za ile ndege
hizo siti za katikati hazina hata raha! sa ntanuanuaje mahindi ya kuchemsha, viazi vya kuchemsha na mayai ya kuchemsha?
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
View attachment 465297 View attachment 465298 View attachment 465299
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Hahahahahahahaha hallow nimecheka kishenziSasa ww hyo milango huko hewani unataka ijifungue ili iweje sasa au unataka ushuke kuchimba dawa mawinguni?