falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
wewe mgeni humu, unaweza kusearch hiyo thread niliweka na chetiCheti cha ushidi? Ushindi wa nini? Hebu kiweke hapa hicho cheti.
Ila hongera sana kwa mabus mazuri
huyo ni wewe?Naombeni kazi falcon mombasa
Naomba kazi hata ya kuhudumia abiria umo ndani, yaani hapo nitakuwa nayafaidi kuyapanda kila wakatiMama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing ,kwani hadi sasa ndio mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.
Tahmeed coach
your comfort
is our concern
Ni jirani yetu hapo Nairobi.huyo ni wewe?
Ndio mimi mgeni, nikaribishe kwa kuweka hio link hapawewe mgeni humu, unaweza kusearch hiyo thread niliweka na cheti
sibahatishi nisemacho, hata ratco zilikuwepo. ila hakuna za kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuna zaidi ya Tahmeed. pia nikukumbushe hatupo hapa kubishanaMbona Kimbinyiko anazo hizo basi tangu mwaka jana?
aiseeNi jirani yetu hapo Nairobi.