Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Utanufaika tu kama walivyonufaika wanafunzi kusoma darasani kuhusu bomba la mafuta la TAZAMA, kua limeanzia DSM hadi Zambia.Samahani jamani, mie sijaelewa vizuri katika hilo bomba Tanzania tunanufaikaje? Au ndo kama lile bomba ia TAZAMA Pipeline? Manake sie tunaishia kulitazama tuuu likipita, hizo ajira zinapatikanaje kwa kupitisha bomba? Twawaoma ma GT watujuze.