Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,659
- 4,763
Inategemea na mkoa ulipo ila bei ni kuanzia 2.6MBei ipoje sokoni
Subiri tuone ila kama engine hizi zitafanya vizuri vita itakua kali sanaVita kali sana hio si kwa mfumo huu
Honda aina gani mkuu maana zile za 100cc sijavutiwa na muonekano wake bora Yamaha 125cc kidogo ziko bombaHonda kashamaliza mchezo wao ndio wanaamka
Jamaa hawana bike sikushauri kununuaMe naipenda hero hunter 150x off-road
Japo December nataka nivute blade yangu swafiii na hero hunter 150x off-road nivimbe huko mkoa.
Jamaa hawana bike sikushauri kununua
Engine zake zinawahi kuchokaki vipi?
NAOMBA KUJUA KUHUSU MFUMO WA ENGINE WA TVSNaona jamaa wanajaribu kuboresha engine zao na kufuata mfumo wa engine za washindani wao TVS.
Asanteni na karibuni kwa mjadala🙏
Kwa hizi TVS 150cc/125cc ni air-cooling & timing chain engineNAOMBA KUJUA KUHUSU MFUMO WA ENGINE WA TVS
Ooh okay chiefKwa hizi TVS 150cc/125cc ni air-cooling & timing chain engine
Mbona bei ndogo hivyo. Basi nampango wa kuzinunua kama hizo mia tano.Inategemea na mkoa ulipo ila bei ni kuanzia 2.6M
JozeeeeeeeOoh okay chief
Nipange.Jozeeeeeee