Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ni kielelezo kingine cha ujinga Tanzania

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
3,754
9,888
Huduma za msaada wa Kisheria za Mama Samia ni aina nyingine ya kielelezo cha jinsi taifa lilivyo

Huwa nasema siku zote CCM hawako tiyali kuona vitu vifuatavyo vinatoweka katika hili taifa;

1. Kuisha au kupungua kwa umasikini.
2. Ujinga
3. Mifumo imara ya uwajibikaji katika nchi.
4. Mifumo imara ya kutoa huduma zikiwemo za afya
5. Upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania.

Ukiona kilicho kuwa kinafanyika pale Arusha uwanja wa mpira kutoa huduma za matibabu si kingine ni siasa, yaani hawataki kuimarisha mifumo ya afya, hawataki kutoa Bima za afya kwa kila mtanzania make wakitoa Bima za afya watakosa watu wa kuwafanyia siasa.Sanacheza na umasikini.

Anacho Fanya makonda kujibadili kuwa Police, Muendesha mashitaka na pia hakimu ni matokea ya kwamba Serikali haitaki kuimarisha mifumo ya utoaji haki make wakiimarisha mifumo kuna namna watakosa covarage za kisiasa za kufanya maigizo.

Umasikini ni mtaji usio yumba Kwa CCM na kama kuna Baraka kwa CCM basi ni umasikini wa Watanzania. Hawa masikini huhongwa hata Viberiti tu wakati wa kampeni.

Ujinga ni Industries na ukiangalia hata project ya shule za kata na the way wanavyo ziendesha ni industries ya kuendelea kuzalisha ujinga katika taifa hili.

Huduma za kisheria za Mama Samia, hii ni full politics fikiria Raisi badala aimarishe huduma za utoaji haki anaona bora awekeze kwenye siasa za kuwasaidia wananchi kisheria.

Nia ajabu sana kwamba Mkuu wa nchi anaona kutoa ushauri wa kisheria ni bora zaidi ya kuimarisha mifumo ya kutoa haki.

Screenshot_20240704_090812_com.facebook.katana.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240704_090812_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_20240704_090812_com.facebook.katana.jpg
    788.8 KB · Views: 1
Makonda alipoanzisha Kampeni yake ya Madaktari na huduma Bure.

Washauri wa Samia wakamwambia Mama Nawewe Njoo na "Madaktari wa Samia".

Makonda anaendelea na Kampeni yake kuwasaidia Raia Kwa msaada wa Wanasheria wa TLS ...Washauri wa Samia nao wamemwambia Mama ,Makonda anavile na hivi.... Nawewe anzisha "Msaada wa Sheria wa Mama Samia".

Hii Ina dhihirisha, Samia kazungukwa na Washauri Vichwa maji, Vipofu, wasokua na Uwezo wa ubunifu , Hawa vichwa maji silaha Yao kuu ni KUJIPENDEKEZA NA UNAFIKI.

😂😂😂😂

Ushauri, Makonda anastahili nafasi za juuu zaidi .
 
Rais badala ya kutujemgea mifumo imara ya kisheria katika nchi, wewe unatuletea banda la kisheria, kweli jamani.
 
Huduma za msaada wa Kisheria za Mama Samia ni aina nyingine ya kielelezo cha jinsi taifa lilivyo.

Huwa nasema siku zote CCM hawako tiyali kuona vitu vifuatavyo vinatoweka katika hili taifa;

1. Kuisha au kupungua kwa umasikini.
2. Ujinga
3.Mifumo imara ya uwajibikaji katika nchi.
4.Mifumo imara ya kutoa huduma zikiwemo za afya
5. Upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania.

Ukiona kilicho kuwa kinafanyika pale Arusha uwanja wa mpira kutoa huduma za matibabu si kingine ni siasa, yaani hawataki kuimarisha mifumo ya afya, hawataki kutoa Bima za afya kwa kila mtanzania make wakitoa Bima za afya watakosa watu wa kuwafanyia siasa.Sanacheza na umasikini.

Anacho Fanya makonda kujibadili kuwa Police, Muendesha mashitaka na pia hakimu ni matokea ya kwamba Serikali haitaki kuimarisha mifumo ya utoaji haki make wakiimarisha mifumo kuna namna watakosa covarage za kisiasa za kufanya maigizo.

Umasikini ni mtaji usio yumba Kwa CCM na kama kuna Baraka kwa CCM basi ni umasikini wa Watanzania.Hawa masikinu huhongwa hata Viberiti tu wakati wa kampeni.

Ujinga ni Industries na ukiangalia hata project ya shule za kata na the way wanavyo ziendesha ni industries ya kuendelea kuzalisha ujinga katika taifa hili.

Huduma za kisheria za Mama Samia, hii ni full politics fikiria Raisi badala aimarishe huduma za utoaji haki anaona bora awekeze kwenye siasa za kuwasaidia wananchi kisheria.

Nia ajabu sana kwamba Mkuu wa nchi anaona kutoa ushauri wa kisheria ni bora zaidi ya kuimarisha mifumo ya kutoa haki.
View attachment 3033088
Umetaja viberiti.. Nikufahamishe tu, hivyo huwa sio viberiti.. Ni Ganda la kiberiti lenye 50,000/- ndani..

Ilitokea sehemu Moja wakapewa viberiti.. Kwa hasira na dharau wengine wakavitupa.. Jamaa mmoja akasema ngoja niwadhie sigara yangu.. Akakuta hela.. Muhuni akarudi kutafuta viberiti vilivyokuwa vimetupwa..
 
Makonda ni level za juu kabisa za watu wenye ubunifu nchini

Wengi wawatumishi wanaishi kwa mazoea hawana ubunifu wowote na wamekalia majungu na fitina pia wivu dhidi ya wanaotumia ujuzi na akili zao kutatuta kero za wananchi

Wengi wenu mnaweza kumbeza Makonda kwa wivu wenu, ukiondoa wivu dhidi yake! Tanzania inapaswa kuwa na viongozi wabunifu kama kina Makonda

Wenye uwezo wa kutazama shida za watu kisha wakatumia ubunifu wao, mawazo yao, elimu yao na kisha kutatua kero hizo

Siyo watumishi na viongozi wa mshahara, mambo yaende/yasiende, mshahara mfukoni mwisho wa mwezi

Sasa hiyo ni akili au utopolo?

Wengi wa Wasomi wa Tanzania, ni wa mshahara na hamna lolote jipya dhidi ya matatizo ya watu

kazi yenu ni majungu tu
 
Back
Top Bottom