Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

CHADEMA saizi wamebaki kutete mafisadi baada ya kumchukua Fisadi Papa. Hizi habari za kutumbuliwa watu majipu na kushikishwa ndoo zinawaumiza sana CDM sioni hata wakiita press conference wala kuandamana kama zamani
Yap, sasa kama akina Bshir Awale ndo alikuwa Kampeni Meneja wa kimkakati wa Lowassa si tulikuwa tunaiuza nchi?
 
Waache wahangaike na FISADI wao papa.
 
Wadau inasemekana hata ubungo Tanesco ni yake hivi kuna ukweli hapo?
Unaulisa makofi polisi? Unaujua SYMBIONS? Huyu ni mtoto wa RICHMOND, katafute gazeti la 30 Mei 2015 "THE CITIZEN" usome LOWASS anavyowalamba miguu Hillary Clinton na Barack Obama kuhusiana na RICHMOND na SYMBIONS.
 
Lowassa sasa hivi amebaki na wafanyabiashara wa Kariwkoo, hawatafanya kitu. Wananchi kila siku wanageuka nyuma na kumiacha akienda mwenyewe. Aliokiwa wkowategemea ndio hao wanaishia mikononi mwa TAKUKURU. wewe naona bado uko gizani.
 
F
CHADEMA saizi wamebaki kutete mafisadi baada ya kumchukua Fisadi Papa. Hizi habari za kutumbuliwa watu majipu na kushikishwa ndoo zinawaumiza sana CDM sioni hata wakiita press conference wala kuandamana kama zamani
Fisadi papa yupo msoga
 
Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Watu walisha balikiwa kuiba
 
Mbona mnaweka habbar juu ya habar? DAU ndio habar ya mjini kwq sasa subiri ngoma ya Dau ichezwe kwanza
 
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Akitajwa Mkwere lazima nywele zisimame. Kwenye habari zinazomhusu Magu wewe ni kurekebisha tu Kiswahili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…