Kampeni Meneja wa Lowassa Ndani ya TAKUKURU

CHADEMA saizi wamebaki kutete mafisadi baada ya kumchukua Fisadi Papa. Hizi habari za kutumbuliwa watu majipu na kushikishwa ndoo zinawaumiza sana CDM sioni hata wakiita press conference wala kuandamana kama zamani
Yap, sasa kama akina Bshir Awale ndo alikuwa Kampeni Meneja wa kimkakati wa Lowassa si tulikuwa tunaiuza nchi?
 
Taarifa ya kwanza ya TAKUKURU kuhusu saga la Richmond ambayo ilichakachuliwa na Hosea
ilimtaja Lowassa kama muhusika mkuu na alitoa maelekezo kupindisha procedures muhimu
hivo hana jinsi kinachofuata ni kubeba ndoo kwenda Keko kunamsubiri tu maana hakuna namna nyingine
Waache wahangaike na FISADI wao papa.
 
Wadau inasemekana hata ubungo Tanesco ni yake hivi kuna ukweli hapo?
Unaulisa makofi polisi? Unaujua SYMBIONS? Huyu ni mtoto wa RICHMOND, katafute gazeti la 30 Mei 2015 "THE CITIZEN" usome LOWASS anavyowalamba miguu Hillary Clinton na Barack Obama kuhusiana na RICHMOND na SYMBIONS.
 
Simply nina maana wanaomuunga mkono awe kiongozi wa juu Nchini.kupata kura zile alizopata sio mchezo...inaonesha dhahir kwamba anakubalika na anao uwezo wa kuongoza.1st jiulize ni kwa nini ansisitiza kama unao ushahidi nenda mahakamani na kama huna Shut Up.
Lowassa sasa hivi amebaki na wafanyabiashara wa Kariwkoo, hawatafanya kitu. Wananchi kila siku wanageuka nyuma na kumiacha akienda mwenyewe. Aliokiwa wkowategemea ndio hao wanaishia mikononi mwa TAKUKURU. wewe naona bado uko gizani.
 
F
CHADEMA saizi wamebaki kutete mafisadi baada ya kumchukua Fisadi Papa. Hizi habari za kutumbuliwa watu majipu na kushikishwa ndoo zinawaumiza sana CDM sioni hata wakiita press conference wala kuandamana kama zamani
Fisadi papa yupo msoga
 
Mbona mnaweka habbar juu ya habar? DAU ndio habar ya mjini kwq sasa subiri ngoma ya Dau ichezwe kwanza
 
Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.

Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Akitajwa Mkwere lazima nywele zisimame. Kwenye habari zinazomhusu Magu wewe ni kurekebisha tu Kiswahili!
 
Back
Top Bottom