Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,024
- 4,834
Mtu anapohamishiwa kwenye kitengo kilicholala na kinachohitaji sana msomi atakayekiamsha na kukifanya cha kisasa zaidi na kukiongezea ufanisi ni PROMOTION KUBWA SANA!Nimemuona kamishna Andengeye ndani ya uniform za Zima Moto.
Hivi Andengenye kimamlaka kapanda au ni demotion..
Hivi anabaki na vyeo/ranks zake za ukamishna wa polisi au anavishwa vyeo vingine vya kizima moto!
View attachment 344693
HONGERA SANA AFANDE ANDENGENYE, TUNAOMBA UUTENDEE HAKI UAMUZI MAKINI WA RAIS WETU! PIGA MZIGO ILI MAAFA YA MOTO YAPATE UFUMBUZI, SIO KAMA SASA AMBAPO MIOTO HUTEKETEZA MALI NA MAISHA KWA ASILIMIA KUBWA SANA YA MATUKIO BILA MSAADA UNAOONEKANA WA JESHI LA ZIMA MOTO!