Kambaya wa CUF-Lipumba atiwa mbaroni

upload_2017-4-28_16-3-21.jpeg
yuko wapi nimtafune mchana kweupeeeee
 
Nawaza hadi nahisi kichwa kuuma!Nini maana ya chama cha siasa?Lengo la chama siasa ni nini?Hivi kufanya doria ni kazi ya chama cha siasa?Hivi mwanasiasa kweli mwenye dhamana kubwa kila siku utafanya siasa zako Mbagala tu?Vipi kuhusu Wete,Mkunazini,Rahaleo,Peramiho,Manda,Kyela,Mpanda na kwingineko?Iweje kila Siku Buguruni?Wakati nyie mnavamia mikutano wenzenu ndiyo kwanza wanaendesha uchaguzi kuanzia ngazi ya matawi halafu 2019-20 mtatuaminisha kuwa mmeibiwa kura!Hiyo ni ofisi tu na ruzuku tunashuhudia haya?Mkipewa Ikulu je?
 
Hili ni genge la wahuni
 
Hiyo ni geresha,kabla hawajamsondeka ndani seif sharif hamad na hawatamtoa mpaka 2021
 
View attachment 502176Mwisho wa ubaya aibu

Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baaday ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

USHAURI KWA : magdalena Sakaya na Maftah Nachuma, bado mna bright future a fulstrated professor and a looser politician Prof Lipumba asiwaaribie ndoto zenu za kisiasa, sasa timu ya lipumba inaishi kwa uongo na ulaghai hadi sasa mfadili wao CCM amewageuka baada ya kuona anayemwezesha hana dili tena

View attachment 502177View attachment 502178
Babaisha bwege hiyo. Kesho yuko mitaani kuja kuratibu makabiliano na CUF wanaotaka kufanya usafi Buguruni.
 
View attachment 502176Mwisho wa ubaya aibu

Kambaya wa CUF-LIPUMBA atiwa mbaroni, source mwananchi online
baaday ya tukio la kuvamia mkutano halali wa CUF uliofanyika mabibo chini ya mwenyekiti wa wilaya, ambapo wafuasi wa CUF na waandishi wa habari walipigwa na kudhalilishwa.

USHAURI KWA : magdalena Sakaya na Maftah Nachuma, bado mna bright future a fulstrated professor and a looser politician Prof Lipumba asiwaaribie ndoto zenu za kisiasa, sasa timu ya lipumba inaishi kwa uongo na ulaghai hadi sasa mfadili wao CCM amewageuka baada ya kuona anayemwezesha hana dili tena

View attachment 502177View attachment 502178

Zuga tu hiyo,
Soon atatoka
 
Back
Top Bottom