Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
643
2,688
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.

Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.

Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na Fredy Tangalu na kule Coastal kuna mtoto anafanana sana na Ally Maumba over the top, huyu allikuwa kiungo hatari sana pale Coastal, kiungo huyu anaitwa Gerard Gwalala.

Huyu dogo tema mate chini aisee

Nawaomba viongozi wa Simba watupie macho madogo hao watakuja kuniambia
 
Wakati mwingine jitahidi kutumia haya maneno 'wanakufurahisha wawapo uwanjani' badala ya neno kusema eti wanakukuna sana. Kumbuka wewe ni mtoto wa kiume.
 
Kuna Najib Musa, kipa wa Pamba na kiungo mmoja yuko Dodoma jiji ana jina la kijaluo
 
Wachezaji wa ndani hao. Huyo Gwalala si amecheza Preliminary CC dhidi ya ile timu ya Angola, hakuna cha maana alichokuwa anafanya zaidi ya kuzunguka uwanjani kama dawa ya Mbu.
 
Kukuna na kufurahisha are two different things, kufurahishwa maana yake umekubali show yake kama wewe unavyoliwa na Hersi pale jangwani
Basi uendelee tu kukunwa na hao wachezaji wako. Maana hakuna namna nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…