Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 643
- 2,688
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na Fredy Tangalu na kule Coastal kuna mtoto anafanana sana na Ally Maumba over the top, huyu allikuwa kiungo hatari sana pale Coastal, kiungo huyu anaitwa Gerard Gwalala.
Huyu dogo tema mate chini aisee
Nawaomba viongozi wa Simba watupie macho madogo hao watakuja kuniambia