Kamati ya uongozi CUF yamtaka Lipumba agombee kuepusha mpasuko

Wanatamani sana watanzania hasira zipande km yule ali msaidia mp UK kuanza maisha ya dunia nyingine.

Waache wajione wanaweza pandisha watu hasira , kisha wa rudi kuja wazomea wakiwa na hizo hasira.

Ipo siku haya majukwaa ya siasa yata kuwa mahakama zao.
 
wote ni walewale tu hamna lolote mtu toka 1995 hadi leo anagombea urais yeye tu miaka nenda rudi demokrasia gani hiyo,afu bado anataka serikali ya mpito ya nini??huwezi kujitafakari hata kidogo uone kunakitu unahitaji kukibadili kwa manufaa si tu ya taifa bali hata ya chama chako..................

kama amechaguliwa na chama kugombea, akatae?
 
Nilichogundua kuna mkondo wa lowasa katika mchakato huu wa kumpata mwenyekiti wa CuF na kundi kubwa la wanachama wanamuhitaji Pro narudi katika nafasi yake..

Hizi nyingine ni mbwembwe tu, Lipumba sio msaliti na wakati anaachia nafasi yake alitoa hoja zenye mashiko kabisa, iv sasa uchaguz umeisha lowasa ni sehemu ya chadema na sio cuf, ukawa ni muunganiko wa vyama na sio watu

you can not think nor analyze what happened during campaign / election last year?
 
Sasa amehamua kurudi na wanachama wamemkubali hakuna wenye chama zaidi ya wana chama!
Hata sisi weningine tunaambiwa eti ni wananchi tuliyemchagua dikteta. Wanachama wasaliti hawakilishi wote subiri achukue fomu. Halafu mnajichora tu mlimushinikiza ajiuzuru sasa mnamshikiza atengue kujiuzulu kama sio mabwege ni nini?
 
Chama kimetawaliwa na wapemba ambao hawamtaki Lipumba...ila kiukweli tokea Lipumba ajiuzulu cuf bara ipo mdebwedo
 
Back
Top Bottom