Kamati ya Maadili TFF yampiga Haji Manara marufuku kujihusisha na Mpira. Apigwa faini Milioni 9

Wangempa faini tu ya kishikaji.
Kuwafungia wasemaji wa Yanga na Simba kunapelekea kupunguza hamasa ya ushabiki wa mpira.
 
Wadau hatupingi adhabu Kwa wachezaji Na viongozi wa soka pale wanapokiuka.Tunachopinga adhabu au faini ni kukomoa au kurekebisha?
Unajua thamani ya mil 9 kwa mwaka ujao??? Kama unajua endelea kupiga faini hiyo... bt jua currency huwa inafluctuate time to time.. ndio maana babu yako aliwahi kununua nguo kwa senti 5.. lkn ww leo unalazimika kutoa zaidi ya 10000
 
Mwenzio akinyolewa usiruhusu nywele kukuwa kwa maana na wewe utanyolewa sasa kwa bahat mbaya haji mwenzie jerry alinyolewa yeye akawa na kipara daima lkn siku ilipofika malinzi hakujali manara ana kipara au nywele zungu nae amenyolewa maskini
 
TFF wabishe kwa hoja aliyoyasema co kufukuzana tuu
Umeambiwa kaitwa mbele ya kamati yamaadili hakutokea sasa unataka tume ya maadili nayo ikengeuke na kwenda kupayuka kwa waandishi wa habari au?
 
Wangekuwa wanatoa adhabu kama hizo kwa vitendo vya rushwa kwenye huu mchezo ningewapenda sana TFF. lakini maovu ya rushwa ambayo yanautafuna mchezo wa soka wanayafumbia macho wanakurupuka na kauli tata za wasemaji wa vilabu!!!
 
TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF

akarudishe zile alizopeleka kwenye hisa za Vodacom..
 
Back
Top Bottom