comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
HovyoooHoja kutoka mbunge wa ukweli. Chama tawala, lazima ionekane kuwa ni hoja. Upinzani hata mkimtuma KUB, nyiye hamna hoja. Kweli Vi-wonders. Tz hii ni ya kushangaza. Si mngeianza tangu juzi ile alipoitoa Mbowe si mngeshaimaliza
ubashitee tuHovyooo
Ahaha walikataa hoja ya Mbowe kwa mbwembwe zote,sasa kwa aibu wanaenda kuijadili hiyo hoja.